Alfatonics Electronics tumekuja na huduma ya "delivery" kwenye ufundi wa kompyuta na vifaa vya umeme majumbani
Huduma hii mteja unaweza kufanya booking Kwa kupiga simu au kuchati na mhudumu wetu kupitia Whatsapp namba 0656586676
Huduma hii ni Kwa wateja wote wa maofisini na majumbani.
Mteja...
C++ Ni nzuri iko powerful lakini nikuulize kwanza unataka kuitumia katika development ya nini?
Lugha unayosoma inategemea na Jambo unalotaka kufanya si kila lugha iko vizuri kwa matumizi yote
Jaribu kutafuta hiki
Head first Java,
Kingine Beginning programming in Java for Dummies
Vitakusaidia sana kwenye kuanza lakini pia jitahidi sana kuwa unasoma Soma online maana unaweza kuta baadhi ya updates zimetokea na kwenye kitabu hazijawekwa so usikomae na kitabu pekeake
Pia wakati wa...
Unataka kudeal na programming ya vitu gani
System,mobile apps,hardware programming,block chain, n.k
Umeshachagua Ni field gani unataka base huko ili tujue njia ya kukushauri uifute
Mfano mtu anaetengeneza smart contracts kwenye block chain njia yake Ni tofauti na mtu anaefanya hardware programming
Uko sahihi Ila muuliza swali nadhani Kuna GPU aliyomaanisha na ndio maana nikamjibu vile pengine anahitaji mashine ya kufanyia rendering kumuambia tu PC yenye intel graphics kuwa Ina GPU anaweza kosa anachotaka
Laptop zisizo na GPU zipo, na kawaida sana zenye GPU ndo zinaandikwa utaona sticker imebandikwa ya hiyo GPU yako hapo mbele ya laptop
Au unaweza ingia ndani sehemu ya search ukaandika system information ukapata taarifa zote za computer yako, au ukaandika task manager af chagua palipoandikwa...
Uimara wa laptop hatutaangalia zaidi brand inategemea na model ipi umechukua mfano labda ukachukua hp ya 300k na ukachukua dell ya 500k then ukalinganisha ubora haitakua sawa
Ubora utalinganishwa na model za hizo laptop za kampuni moja na zaidi Ni kutokana na matumizi yako maana Hawa...
Anhaa naona pia Ni mapenzi zaidi ndo yanafanya mtu kuchagua kampuni dhidi ya nyingine,
Wapo wengine wanapendelea zaidi dell kuwa zinadumu zaidi kuliko hp
Wengine Apple japo zinapendwa Ila wengi Bei zinawashinda
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.