Recent content by alexiz sanchez ozil

  1. A

    JamiiForums Tanzania MwanaFA azomewa na wananchi baada ya kuanza kusifia Awamu ya 6 kwenye Tamasha la miaka 30 ya Bongo Fleva

    Wasingemuwahi angechomoa simu maza akapiga simu pale jukwaani
  2. A

    JamiiForums Tanzania TAHARUKI!! Vijana washusha bendera ya CCM na kupandisha bendera ya Tanganyika

    Upepo wa kuifanya bendera ipepe hivyo, lazima hayo majani ya miti nayo yangekua yanapepea uelekeo wa bendera. AI hio
  3. A

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sativa ashitakiwa kwa kutoa taarifa za uongo. Mahakama yaombwa kutoa kibali cha kukamatwa kwake

    Uzuri wa nchi zenye separation of power, Unaweza negotiate na viongozi wanasiasa wakakubali kumrudisha, lakini mahakama ikakataa na ikawa ndio mwisho.
  4. A

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msanii Jimmy Mafufu: Ushiriki wa Wasanii kwenye kampeni Sio Kosa kwahiyo hatutaomba radhi

    Huyu ni msanii wa nini? Kwanza nani amesema anataka msamaha wa wasanii? Wao wafanye kazi zao kusikiliza na kusupport kazi zao hio ni choice ya msikilizaji mwenyewe.
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Mbezi Beach na Salasala tunauziwa maji Tsh 1,500 hadi 2,000 kwa dumu, Viongozi husika mmeridhika na hali hii kila Mwaka?

    Tunywe mtoli nyama tutakuta chini , hadi wote tutoke kuandamana bila kushawishiwa na mtu
  6. A

    JamiiForums Tanzania Je, unadhani Migogoro inayoendelea nchini kwa sasa inachochewa na uwepo wa Madini adimu (Rare earth minerals) nchini?

    Hayo madini yamewahi kumteka mtu? Acheni kusingizia vita ya uchumi wakati mambo mnayasababisha wenyewe
  7. A

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Hio Pluribus, ipo hadi episode ya 5. Director wake ndio yule wa Breaking Bad na Better call Saul
  8. A

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Series kali
  9. A

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Ser Duncan the Tall
  10. A

    JamiiForums Tanzania Bado hamjasema. Vikao mnafanyia hemani?

    Kufika kwenye kikao wajumbe walikua wanavalishwa magunia meusi usoni, unaoandishwa pira unaenda kufumbuliwa macho ndaninya hema in undisclosed location
  11. A

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi JWTZ wenye silaha warudi kulinda Dar es Salaam, kulikoni?

    Hili jambo liwe hivi hivi miaka yote mitano, ikipita tar 9, inatangazwa tar 12 Jan, baada ya hapo inakuja 14 Feb Kila siku watu wapate kazi za kufanya, hata walio maofisini wasikae kwa amani
  12. A

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hivi zile Saa 24 alizotoa Augustin Polepole hazijaisha bado?

    Sema jamaa ana mkwala bwana, kama una roho nyepesi unaweza kumuamini
  13. A

    JamiiForums Tanzania Leo wazee wa kazi nimewaona Segerea na wako full combat na bunduki juu je kuna nn?

    Hizo bunduki risasi unakuta ziko mafinga.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: Hivi Jeshi lipo kwa ajili ya kulinda wananchi au mtu mmoja?

    Kiapo ni kumtii na kumtumikia Raisi na amiri jeshi mkuu, Mengine ni maelekezo kutoka kwake, hata kulinda mipaka hawajiamulii wanapewa maelekezo.
  15. A

    JamiiForums Tanzania Makala Elimishi: Kwanini JWTZ Kamwe Haliwezi Kupindua Serikali Tanzania? Ni JWTZ ya Serikali ya CCM, ni JWTZ CCM!

    Hili andiko lako 40% lina ukweli lakini 60% sio kweli, ni mambo ya kusadikika, probably sababu ni MT ndio maana knowledge yako ni dogo. Ninachikubaliana na wewe ni kwamba, wazee wengi ni CCM, lakini kinakuja kizazi ambacho hakielewi loyalty na watawala hapo probably kunaweza kuwa na mabadiliko
Back
Top Bottom