Recent content by Alexido jz instagram

  1. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania SHOW YA FALLY IPUPA DAR, NI SOLD OUT, WAANDAAJI JITAFAKARINI, 28 NOVEMBER MBALI

    Sawa ila mapema sana, huenda Kuna ufisadi umefanyika
  2. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania SHOW YA FALLY IPUPA DAR, NI SOLD OUT, WAANDAAJI JITAFAKARINI, 28 NOVEMBER MBALI

    Wao wanajuaje kama watu watazitaka nyingi
  3. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania SHOW YA FALLY IPUPA DAR, NI SOLD OUT, WAANDAAJI JITAFAKARINI, 28 NOVEMBER MBALI

    Uwezo wetu tunatofautiana shida nyie ni wabinafsi, kuliko nilipe sasa hiyo hela ya show si Bora niizungushe kwanza
  4. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuacha kazi ili nifanye muziki

    Sijaelewa KAZI Gani ya siri mkuu ilihali ni kampuni linalo tambulika
  5. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuacha kazi ili nifanye muziki

    Ndio mkuu ndie mimi, nisha amua tayari
  6. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuacha kazi ili nifanye muziki

    Shukrani sana mkuu
  7. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuacha kazi ili nifanye muziki

    No way out mkuu, ndio maisha, si mara ya kwanza kua ha KAZI nifanye mambo yangu mkuu japo Huwa nateseka but time hii tahakikisha na fight sana
  8. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuacha kazi ili nifanye muziki

    Una stress za maisha? Pole mkuu ulicho andika hakieleweki
  9. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuacha kazi ili nifanye muziki

    Nashukuru wakuu kwa muda ambao nimekua humu, tangu mwaka 2020. Ndugu zangu nimeajiriwa kwenye kampuni binafsi, NAPATA pesa kiasi na kufanya baadhi ya michongo yangu kadhaa. Maamuzi niliyo fikia radmi nikuacha KAZI ili NIFANYE shughuli za mziki nimeshindwa kujigawa nikizubaa mwaka huu utaisha...
  10. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Orodha ya matajiri wa Tanzania ambao licha ya utajiri wao lakini wamechagua maisha ya faragha

    Kaka hiyo jambo yule Mzee Alisha stafu, aka kama pembeni alikua amemuandaa kijana wake anaesomea Dubai, baada ya kijana kumaliza masomo akamkabidhi ofisi, yule kijana alikuja nampango maalumu ya kuifanya jambo iwe kampuni kubwa Kanda ya ziwa na kweli alifanikisha hilo.
  11. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Asante dunia miss grand international imetishaaaaaa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 huko haendi fala, maswali yanatisha, mmexico kingereza cha mchomoa

    Kila Miss ana director wake Yani timu yake inayo msimamia, hao wanapewa maelekezo kwamba tuna vaa nguo ya kuogelea, wao wana design wanampa mtu wao, ni timu kubwa, ya Miss husika(director)
Back
Top Bottom