Wazo jema huwezi fanya kitu bila kuwa na kitu kwanza una elimu,una nguvu ila huna nyenzo inaweza kuwa pesa au vifaa. Kwa wanaounga mkono hoja wakubali kuchangia pesa kidogo mfungue akaunti halafu muweke malengo kila mwisho wa mwezi kila mdau achangie alichonacho na atunze risiti yake ya malipo...
Poleni wanajamnvi na hongereni kwa michangoyenu ya hali na mali inayoendelea kukomboa jamii.Baada ya kuangaika kwa mda wa mwaka mmoja nimepata 2m kama mtaji Je?. Nibusiness gani nzuri ninayoweza kuifanya japomtaji ni mdogo.Naomba ushauri kwenu wanajamvi degree zinatutesa hukumtaani.
asante mkuu kwaushauri wako ingawa swali la kujiuliza ni je? ikiwa hitimisho ni kujiajiri tupatewapi mitaji watoto wa wakulimama tuliosoma kwa mkopo inabidi tuone namna ya kupata mikopokupitia hivivyeti
Poa mkuu kazi zipo kama kushusha viroba,bia na kupakia kwanzia saambili asubui hadi saam bili usiku mshahara laki moja na nusu tu kwa mwezi. no weekend no likizo kamauko tayari na unajiaminikufanya kazi za kibabe bila kuteteleka kila siku nicheki sim No 0766717965
Asante wana jf kwa update riziki ya wanyonge itapatikana kwa viliovyao, elim ni ufunguo, mitandao ya kijamii tunaipongeza izidi ng'ara, iliyote yaliyoko gizani yazidi fichuliwa kwa uwezo wa God.
Napenda sana kujiunga na jeshi la police.Nikiwa chuo 2013 nilijaza form lakini sikuitwa kwa sasa niko mtaani form za kujiunga zimetoka kwa wahitim tu.Je tulioko mtaani na tunamoyo wa uzalendo wa kujiunga na jeshi la polisi, tunaomba kwa njia ipi? au barua zitumwe kwa anuani ipi?
I have a bachelor in archaeology. Under this discipline I am well organized in Archaeological methodology and well experienced in land Excavation. Was conducted two field school first was conducted at Bagamoyo Kaole luwinzi site, secondly was conducted at Rukwa iron technology smelting site.
I...
Ninakipaji kizuri cha kutunga mashairi na tenzi zenye mvuto,lugha mwanana zenye kufuata urali wa vina na mizani. Naomba wasanii chipukizi, waimba taarabu, kamamnahitaji hudumahii niko tayari, Vilevile kama kunamtu anawezaniajiri katika fani hii niko tayari.
Mafano wa Utenzi
Elim kiingilio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.