Recent content by ALEX_ANDER

  1. ALEX_ANDER

    Vunja Bei anaunga-unga, Simba msimpe mkataba

    Umeongea kweli kabisa, Fred bado bado kidogo.
  2. ALEX_ANDER

    Mauzauza: Nasumbuliwa na ndoto za kuhusu wazee wangu

    Hebu share hayo maarifa wengine tujue pia plz
  3. ALEX_ANDER

    Kati ya Jay Moe na Fid Q nani mkali?

    Bila ya kupepesa macho Fareed Queens Kubanda - Fid Q
  4. ALEX_ANDER

    Kati ya Jay Moe na Fid Q nani mkali?

    Ongeza Mwanamalundi na Usinikubali haraka
  5. ALEX_ANDER

    Hawa ndiyo wasanii waliovuma sana mwisho wakasanda

    Huu wimbo afande alibonda sana, mashairi yaliyoshiba mpaka kupitiliza kwa kutumia maneno halisi na mpangilio uliotukuka,utasema alitunga mwaka mzima Ni moja ya verse bora kuwahi kutokea katika bongo fleva ukiachana na ile ya Mansu Lii katka wimbo wa mchizi wangu remix wa Nako 2 Nako.
  6. ALEX_ANDER

    Mashabiki wa Arsenal sasa tunalamba asali kwa raha zetu

    35,000 Tshs 0686-942-315
  7. ALEX_ANDER

    Mashabiki wa Arsenal FC

  8. ALEX_ANDER

    Nimebahatika kupata mtoto muda mfupi baada ya Mechi ya Qatar dhidi ya Ecuador kumalizika. Je, nimpe jina gani?

    Kuna mtoto anaitwa Loveness kifupi Love, mtaan Mama ake anaumita lavuuu kwa accent ya kinyakyusa imagine
  9. ALEX_ANDER

    Nataka kwenda Ecuador

    Swali ni hili Kama kuna mtu mwenye experience ya hizi visa free countries I'll greatly appreciate msaada wake! Natanguliza shukrani!
  10. ALEX_ANDER

    Mikasa ya Kupokea na Kutoa Rushwa

    Bora umeacha kabla ya siku ya 40
  11. ALEX_ANDER

    Wanafunzi wengi waliomaliza vyuo vikuu hawana reasoning and cognitive skills

    Na nyinyi hamkuwaita Dodoma [emoji23]?Maana nchi hii na mifumo ya uajiri ni shida. Anyway hongereni kwa kuwafikiria madogo.
  12. ALEX_ANDER

    Kijana Majaliwa hana tofauti na Babu wa Loliondo

    Afu mkasahau msela ni wa ukanda ule ule wa wakulima wa misifa. Possible muda anapiga mlango na kasia, ndio muda wale wahudumu pia wanafanya kufungua so ikatokea kwa pamoja.
Back
Top Bottom