Recent content by Alex777

  1. Alex777

    JamiiForums Tanzania Diaspora hawapendani

    Ha ha ha!
  2. Alex777

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri wa biashara ya usafirishaji wa abiria kwa basi

    Ahsante Kwa ushauri wako nzalendo Bila shaka nitafanya huu uchunguzi. Na pia naomba kama waweza pia fahamu juu ya mlbiashara hii ya mafuta unipe ujuzi (darasa kidogo) na Kwa uzoefu wako labda; maximum nauli Kwa mtu mmoja hua wanatoza kiasi gani from dar to Kigali.?? Na unanidhauri bus...
  3. Alex777

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri wa biashara ya usafirishaji wa abiria kwa basi

    Ahh kumbe, Ni yapi hayo aisee?
  4. Alex777

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri wa biashara ya usafirishaji wa abiria kwa basi

    nzalendo Kigali rd to DAr Tz. Hii njia inaabiria sana.?! And if so nauli zake kwa abiria mmoja ni how much?
  5. Alex777

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri wa biashara ya usafirishaji wa abiria kwa basi

    sanurai Vipi kuhusu biashara ya mafuta, yenyewe imekaaje haswa.?!
  6. Alex777

    JamiiForums Tanzania Mungu wa Wachaga avunjwa

    Post yako inachanganya sehemu aisee... Umesema mungu halafu ukasema Mungu... Na at some points ukaweka Mungu kwenye mungu Tafadhari tambua yakua Mungu hachanganywi...
  7. Alex777

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri wa biashara ya usafirishaji wa abiria kwa basi

    Ahsante sana Kwa ufafanuzi mzuri, umenifumbua macho. Umenishauri vyema mno. Naomba uni "Pm" tafadhari.
  8. Alex777

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri wa biashara ya usafirishaji wa abiria kwa basi

    Ahsante sana aisee, Hakika umenifungua macho yangu na nimepata kuelewa. Umenipa hesabu rahisi na yenye maana mno. Ahsante mno. Kwahio; Mfano Kwa makadirio., Lori LA mizigo hesabu yake ni kiasi gani kwa siku! Na coaster za mgodini zinakodiwaje! Na bus kubwa hesabu yake Kwa makadirio ni kiasi...
  9. Alex777

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri wa biashara ya usafirishaji wa abiria kwa basi

    Mimi ni Mfanya Biashara, na sio mfanya biashara. Ukiwa Mfanya Biashara unapozungumzia faida, inamaana kwamba BIdhaa zinakua na Ubora Wa Juu. Ubora hilo ni jambo #1 NAOMBA IELEWEKE....
  10. Alex777

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri wa biashara ya usafirishaji wa abiria kwa basi

    Naomba unifananulie basi Ndugu ole, changamoto zake haswa ni zipi? Na kama waweza tambua mzunguko wake Wa fedha kwenye hii biashara ukoje!
  11. Alex777

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya nyonga kwa wanaume; nini chanzo na tiba yake ikoje?

    Ushauri pekee na ndio utakao kua Tiba kwako ni "Maombi" otherwise utateseka.. MPE Mungu nafasi sasa akuponye.. 20yrs sio mchezo. Angalia www.Emmanuel.tv utapokea uponyaji, kuna wengi walikua na case kama yako na wamepokea uponyaji Wao. Huo ndio ushauri na dawa pekee....
  12. Alex777

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri wa biashara ya usafirishaji wa abiria kwa basi

    Habari wana JF, Samahanini kaka &,Dada mlioko humu, ila nalikua naomba ufafanuzi Kwa Mwenye ufahamu juu ya swala hili. Mimi ni mfanyabiashara, na ninamshukuru Mungu ameniwezesha kupanda kiwango cha juu. Ahimidiwe Yeye Mungu. Wa Baba zangu Ibrahim Isaka na Yakobo! Niko kwenye mazungumzo na...
  13. Alex777

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya nyonga kwa wanaume; nini chanzo na tiba yake ikoje?

    almasstz hbr, umeshaenda mahospital wamekosa dawa?
  14. Alex777

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Utumiaji wa vyoo vya Mlimani City

    Tulimumu kuhusu issue ya barabara nadhani ni challenge Kwa government na pia Kwa watengenezaji. Barabara ni plan yake ni nzuri sana, tatizo ni 1 ni ndogo (nyembamba) ukilinganisha na wingi Wa nagari uliopo ndio maana unakuta at some areas watu wanavunja.
  15. Alex777

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Utumiaji wa vyoo vya Mlimani City

    christine ibrahim; number eehh upande wenu visafi... And ahsante Kwa picha ya ya MMOG huyo...(kwenye dp yako)
Back
Top Bottom