Maumivu ya nyonga kwa wanaume; nini chanzo na tiba yake ikoje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maumivu ya nyonga kwa wanaume; nini chanzo na tiba yake ikoje?

Discussion in 'JF Doctor' started by danali, Jul 30, 2012.

 1. danali

  danali JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 808
  Likes Received: 1,169
  Trophy Points: 180
  Mimi ni kijana wa umri wa miaka 22 mpaka sasa nasumbuliwa na maumivu ya nyonga.

  Tatizo hili halikuanza muda mrefu na wala sijawahi kutumia dawa ya aina yoyote.

  Nawaombeni msaada nitumie dawa gani kulimaliza tatizo hili la maumivu ya nyonga
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Mkuu@danali

  (1) Dawa ya maumivu ya Nyonga tumia Moja wapo wa hizi dawa inshallah kwa uwezo wake Mwenyeezi Mungu zitaweza kukusaidia.


  Utwange Gramu 6 za mbegu za harmal achanganye na maji ya Uvuguvugu glasi moja awe anakunywa kutwa mara 3 kabla ya kula kitu kila siku kwa muda wa siku 12 inshallah atapona. kila akitumia afanye hivyo.

  (2)Na ingine hii chemsha na maji Maganda ya limau kisha kuchemka awe anakunywa kutwa mara 3 glasi moja ya hayo maji kabla ya kula kitu Asubuhi,Mchana na usiku kwa muda wa siku 12 atapona inshallah.

  (3) Na ingine hii Pata Asali safi mbichi ya nyuki changanya na unga wa mbegu za Harmal gram 5 awe anakunywa kutwa mara 3 Asubuhi kijiko kimoja cha kulia wali mchana kijiko kimoja na usiku kijiko kimoja kwa muda wa siku 12 atapona inshallah. awe anafanya hivyo kila wakati anapotumia hiyo dawa.

  (4)Na hii ingine dawa ya kutibu hayo Maradhi ya nyonga Upate mafuta ya Hina uwe unamfanya masaji sehemu ile inayouma kwenye hiyo nyonga kila siku kutwa mara tatu kwa muda wa siku 12 inshallah atapona.

  (5) au hii ya mwisho upate Mafuta ya lozi (mlozi) uwe unafanya masaji kama unavyo fanya kwa kutumia mafuta ya Hina inshallah atapona.

  N.B Muhimu Dawa namba 1 Au dawa namba 3 unaweza kuchaguwa kutumia mojawapo kati ya hizo mbili sio kutumia zote 2 kwa wakati moja. Na zilizobakia waweza kutumia zote. Tumia kisha unipe Feedback.
   
 3. i

  ilboru1995 JF-Expert Member

  #3
  Dec 24, 2013
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,331
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Wakuu jana nilikuwa mazoezi nikicheza mpira wa miguu, nilijukuta nimepiga msamba na kupata maumivu makali yenye kunisababishia miguu ishindwe kunibeba juu ya paja (nyonga) mpaka sasa sijaweza kutoka kitandani! nikijaribu kupiga msamba naweza! ila maumivu yako juu ya paja linapoishia... kuna therapy yoyote ninayoweza kuitumia ili angalau inipe nafuu?...pls assist..
   
 4. b

  blesses Member

  #4
  May 6, 2014
  Joined: Oct 5, 2013
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari wakuu nina maumivu makali sana ya nyonga upande wa kushoto hadi kunyanyua mguu ni shida sijui tatizo ni nini natanguliza shukurani zangu za dhati....
   
 5. MankaM

  MankaM JF-Expert Member

  #5
  May 6, 2014
  Joined: Apr 20, 2013
  Messages: 9,493
  Likes Received: 404
  Trophy Points: 180
  itakuwa ovulation hiyo
   
 6. b

  blesses Member

  #6
  May 6, 2014
  Joined: Oct 5, 2013
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante mkuu
   
 7. M

  Mr II Senior Member

  #7
  May 6, 2014
  Joined: Feb 19, 2009
  Messages: 158
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Pole sana.Nashauri nenda kapate kipimo hospital.Ukishidwa huko ntafute nitakwambia cha kufanya kwa na mimi nilisha kutwa na tatizo kama hilo siku za nyuma. ukinihitaji 0689 417472.
   
 8. b

  blesses Member

  #8
  May 7, 2014
  Joined: Oct 5, 2013
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Poa thank u...
   
 9. almasstz

  almasstz Member

  #9
  May 11, 2015
  Joined: Jul 19, 2013
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Nahitaji dawa
   
 10. Alex777

  Alex777 Member

  #10
  May 11, 2015
  Joined: Aug 4, 2013
  Messages: 30
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  almasstz hbr, umeshaenda mahospital wamekosa dawa?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. almasstz

  almasstz Member

  #11
  May 11, 2015
  Joined: Jul 19, 2013
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Dawa nyingi nimetumia napona Kwa wiki baadae kinarudia hapa
   
 12. almasstz

  almasstz Member

  #12
  May 11, 2015
  Joined: Jul 19, 2013
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Unaponiuliza nimeshindwa kuinua kidoo cha Lita 10 in shida mi mwanzio kazi ngumu siwezi
   
 13. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #13
  May 11, 2015
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,262
  Trophy Points: 280
  Maumivu yako hayahusiani na aina ya kazi unayofanya? Hebu google ergonomics halafu ujitathmini
   
 14. Alex777

  Alex777 Member

  #14
  May 11, 2015
  Joined: Aug 4, 2013
  Messages: 30
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ushauri pekee na ndio utakao kua Tiba kwako ni "Maombi" otherwise utateseka.. MPE Mungu nafasi sasa akuponye.. 20yrs sio mchezo.

  Angalia www.Emmanuel.tv utapokea uponyaji, kuna wengi walikua na case kama yako na wamepokea uponyaji Wao.

  Huo ndio ushauri na dawa pekee....
   
 15. k

  kiborinangari Member

  #15
  May 12, 2015
  Joined: Apr 24, 2015
  Messages: 91
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  wasiliana na huyu doctor gege ni mtalamu wa mifupa aliniunganisha mgongo 0759321087
   
 16. F

  Fofader JF-Expert Member

  #16
  May 12, 2015
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 838
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  Huyu dr. yuko hosp gani?
   
 17. D

  Damalu JF-Expert Member

  #17
  May 12, 2015
  Joined: Jul 26, 2009
  Messages: 281
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Wasiliana na huyu mshauri huwa wanatibu kwa traditional medicine 0716768855
   
 18. M

  Mr II Senior Member

  #18
  May 13, 2015
  Joined: Feb 19, 2009
  Messages: 158
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Pole.Kama ni kweli umehangaika hospital sana, tuwasiliane tupeane ushauri wa kitaalamu pia.0689 417 472
   
 19. Mbalamwezi1

  Mbalamwezi1 JF-Expert Member

  #19
  Jun 26, 2015
  Joined: Dec 20, 2013
  Messages: 1,468
  Likes Received: 959
  Trophy Points: 280
  Wanajf,

  Mimi ni kijana wa miaka 34, nasumbuliwa na maumivu ya nyonga kuanzia katikati kuelekea upande wa kushoto nasikia kuna kitu kinachoma kuanzia kati kuelekea kushoto, kinachoma kama sindano halafu kinaacha.

  Naomba msaada wa mawazo kama kuna mtu ameshakutana na tatizo kama hili au kama anamjua dokta au hospitali ambayo naweza pata matibabu kulingana na tatizo langu.

  Natanguliza shukrani
   
 20. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #20
  Jun 26, 2015
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,955
  Likes Received: 21,106
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...