Recent content by Alex77

  1. A

    Hii ya Juma Pinto Inatisha

    ..Leo aisee"
  2. A

    Hii ya Juma Pinto Inatisha

    Amini nakwambia, "sikuzote" kilicho cha kweli, kilicho cha haki, kilicho cha Mungu no lazma kionekane kigumu, lakini Ukweli ni kwamba at the End no lazma ukipate! Ukiyaka kua Professor, lazma usome sana, lakini ukitaka kuupata u Proffesor Kwa njia za mkato, so kazi., utaupata tuu, ila am a...
  3. A

    Tumbo joto NEC ya CCM kumteua mgombea urais 2015

    I like your idea!
  4. A

    Gharama za ushuru wa kuagiza gari

    Habari zenyu ndugu wana Jamii Forum, Ni matumaini yangu kwamba wote mu-wazima wafya kabisa, na kwa wale wagonjwa na wanao pitia katika changamoto mbali mbali za kimaaisha, ninaomba Mungu awasaidie muweze kupata mpenyo na suruhu la changamoto zenu. Baada ya kuongea hayo machache, Kaka na dada...
  5. A

    Huyu ndie masikini mkubwa.

    Salaam, Dungu wana Jamii, wengi wenu najua mmekuwa mkitafakari sana juu ya neno hili ''Masikini mkubwa'' watu wengi wamekuwa wakiwaambia wengine kuwa ni masikini wakubwa, na neno hili baadhi ya watu wamejaribu ku-point kwa nchi yetu (Tanzania) pamoja na watu wake, embu tuangalie maana halisi...
  6. A

    Muhimu kwa waoaji na waolewaji.

    Habari zenu wana Jamii, Niko hapa leo nadhani hii ndio post yangu ya kwanza hapa, na kilichonifanya ku-post ni kwasababu ya hi lugha ambayo imeenea sana sasa hivi humu mjini eti ''Ni kheri ukosee kujenga nyumba, au ukosee chochote kile lakini sio kukosea kuoa/KUOLEWA'' KWANINI USIOGOPE...
Back
Top Bottom