Recent content by alex okama

  1. alex okama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa kutrack simu iliyoibwa

    Kanunue ingine, mbona ni 150,000/- tu bei yake
  2. alex okama

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye kama January Makamba, maji ya shingo yamfika. Amuangukia Rais Magufuli baada ya kumnanga

    Tissue paper hutafutwa saa mtu anataka kujisaidia, huyu bao la mkono tafakuri hiyo.
  3. alex okama

    JamiiForums Tanzania Huu ugojwa gani?

    Epuka kuvaa viatu vya kubana vinaweza kusababisha hiyo hali
  4. alex okama

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Huna tako, unajisaidiaje??
  5. alex okama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwa bongo ni kituo gani cha luninga chenye ubora wa picha na sauti?

    TBC Sent using Jamii Forums mobile app
  6. alex okama

    JamiiForums Tanzania Sumu ipi ya kuua popo?

    Fuga paka ni adui na ni kitoweo kwa paka.
  7. alex okama

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi 2018: Rais Magufuli atapandisha Mishahara miradi mikubwa ya Serikali ikikamilika, Mwaka jana alinukuliwa Vibaya

    Watanzania sio waoga ni hatuna umoja tu, Ila tuna viongozi waoga,hadi wanasali na mitutu ya bunduki??
  8. alex okama

    JamiiForums Tanzania Habari picha: Ibada ya Pasaka st. Joseph Dar es salaam

    Ibada imeendeshwa na msaidizi wa paroko wala sii paroko wakati ibada kubwa kama hii ilitakiwa iendeshwe na askofu. anapaswa kujiuliza kulikoni??
  9. alex okama

    JamiiForums Tanzania Mbezi, Dar: Waziri Ndalichako, Masauni na IGP Sirro wafika nyumbani kwa Mwanafunzi Akwilini

    Hivi hawa wabunge walikua na kura zenye baraka toka kwa wapiga kura, leo hii unarudi bungeni na kura zenye laana na utadhubutu kuapa na vitabu vitakatifu???
  10. alex okama

    JamiiForums Tanzania Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

    Elewa kua UTI ni mkusanyiko wa magonjwa yote yanayoathiri mfumo wa mkojo ikiwemo kichocho,kisonono ,tricomonas,kaswende nk.Hivo bas unapopimwa kimaabara haupaswi kuambiwa tena neno UTI--(urinary tract infections) majibu ya maabara yaonyeshe mojawapo ya ugonjwa katika hilo kundi la uti. Ili uweze...
  11. alex okama

    JamiiForums Tanzania SUMATRA: Marufuku abiria kuzungumza siasa, dini, biashara ndani ya basi!

    Kilichopigwa marufuku ni yale matangazo ya promotion kuuza vitu ndani ya basi kwakutangaza kaa mnada na mahubiri ya ghafla kukemea mapepo baadae sadaka kukusanywa vinakera sana!!!
  12. alex okama

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Msiwabomoleshe Mwanza, hata kama wamekosea ndio walionipa Urais

    Nasikia huko usukumani ukivuta bangi unaweza kulima eka mbili kwa siku !! vp kunani mwanza na sisi tuje????
  13. alex okama

    JamiiForums Tanzania Waziri wa TAMISEMI, George Simbachawene na Naibu Waziri wa Ujenzi, Edwin Ngonyani wajiuzulu

    Mbwa kala mbwa ! Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom