Recent content by Alex Hamis

  1. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kusaidiwa kuhusu upatikanaji wa mkopo kwa ajili ya kuanzisha biashara ndogo

    Hello! JF, Kwa majina naitwa Alex Hamis, ni mwanafunzi wa chuo kidogo cha Uandishi wa Habari na Utangazaji Arusha lakini kwa upande mwingine ni kijana ambaye napenda kujishughulisha na ujasiriamali, hivyo nimekuwa nikifuatilia fursa mbalimbali za kibiashara na kutokea kupata nyingi lakini...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Kidato cha Pili 2016

    Duuuh shikamoo texaz
  3. A

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Kidato cha Pili 2016

    Umefeli vibaya sana... Form Two umepata Merit,Form Four nadhani itakuwa Credit ukiendelea kutumia SmartPhone...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Msaaada scholarships

    Hujaweka wazi ndugu kuwa unatafuta Scholarship ya aina gani.. Mfano Undergraduate,Masters au PhD,pia hujatufahamisha wewe upo level gani kwa sasa na pia hiyo scholarship ni ya nchini au nje ya nchi.. Nadhani ukielezea vizuri utapata msaada kwa haraka
  5. A

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kupata mtaji wa kuanzisha biashara

    Shukrani sana ndugu
  6. A

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kupata mtaji wa kuanzisha biashara

    Habari wana JF!.. Mimi ni mwanafunzi wa chuo kidogo jijini Arusha ambaye nimekuwa na wazo la kuanzisha biashara itakayonipatia kipato endelevu bila kuathiri masomo yangu lakini "Mtaji" umekuwa kikwazo na changamoto kwangu... Tafadhali kwa yeyote ambaye anaweza kunishauri ni kwa vipi naweza...
Back
Top Bottom