Recent content by Alex Gabriel Malisa

  1. Alex Gabriel Malisa

    Nisome vitabu gani vya coding? Nahitaji kujifunza kuhusu coding.

    Pia nimejaribu kusoma python naona ofcoz its kinda simple ila nahitaji ndau wa ku interact nae.. vp can we pal up?
  2. Alex Gabriel Malisa

    Giza nene juu ya hatma ya wahitimu wa chuo cha taifa cha usafirishaji 2017

    Ila magufuli alisha kiweka kwenye question mark...siku yoyote anakuja kukilipua...
  3. Alex Gabriel Malisa

    Nini utofauti wa degree ya OUT na ya vyuo vya kawaida?

    Sawaa...mawazo yako yaheshimiwe.. Ukija latika swala la kusoma personal nadhan vyuo vingi wanafanya ivo...lkn lazima kuwe na mtu wa kukuongoza Sawaa...mawazo yako yaheshimiwe... open university uses open academic policy... With minimal or no entry qualification.....sijui unaionaje hii...
  4. Alex Gabriel Malisa

    Nini utofauti wa degree ya OUT na ya vyuo vya kawaida?

    Nlitegemea ona sababu kwa nini mtu achague OPEN na sio vyuo vingine...ila kusema maprofesa wanafanya nini sidhani kama ni sababu yenye mantiki... unasahau kuwa vitu vingine ni personal characters
  5. Alex Gabriel Malisa

    Nini utofauti wa degree ya OUT na ya vyuo vya kawaida?

    Hujatoa sababu... Umeanza na chuki binafsi..jibu swali..tajwa
Back
Top Bottom