Recent content by Alex Fredrick

  1. Alex Fredrick

    Secta Binafsi, Watanzania Tumiliki Uchumi pia tuchangamkie Fulsa

    Moja kwa moja naenda kwenye Hoja, Watanzania tuchangamkie Fulsa Tele ambao zimejaa nchini ili Sisi wenyewe Tumiliki Uchumi Tuache kulalamika au kubagaza wenzetu kama kina Rostam ambao wanachangamkia Fulsa na kuwekeza, Zaidi Watanzania wenzetu wanapata Ajira za kutosha na Serikali kupata...
  2. Alex Fredrick

    Anayejitambua miaka 30 - 50, njoo tuyajenge

    Karibu,just to exhange ideas,nipo na 46 pia watoto , napenda kutembea na kusoma vitabu hasa Biblia,no pombe ,no sigara, 0758 308494
  3. Alex Fredrick

    Hivi punde tu Yesu anachukua/nyakua watakatifu wake walioko duniani..in no time..watu watanyakuliwa. Muda umefika

    Amen na Yesu Kristo wa Nazareth Aliye Hai Atusaidie sana Kuwa na Mwisho Mwema
  4. Alex Fredrick

    Hivi ndivyo wanaofurahia uzinzi, ulevi na dhambi nyingine watakavyoteseka milele

    Amen kwa Ujumbe Mzuri wa kutukumbusha, Nashukuru Mungu Nimeokoka na nasikia Aman ndani ya Yesu,Yesu Kristo wa Nazareth Aliye Hai Ndiye Njia Kweli na Uzima Yohana sura 14 Mstari 6
  5. Alex Fredrick

    Nahitaji Cheti Cha Kuzaliwa

    Ukikwama nicheck whsp 0758 308494
  6. Alex Fredrick

    Wanaoomuamini Mungu, wana nini cha kujivunia?

    Kuna Uzima wa Milele Kupitia Yesu Kristo wa Nazareth Aliye Hai,Yohana 14 Mstari 6
  7. Alex Fredrick

    Rai yangu Fupi Kwa Rais Samia

    Kwako MH Rais Wetu MH Samia S Hassan Awali ya yote pole Sana na majukumu ya Kitaifa ya kila siku Nikuombe Sana MH Rais ukipata muda uwe na Mkutano Mkuu wa Kitaifa na Wananchi wako,Iwe Dar es salaam, Dodoma au Zanzibar Agenda kuu itakuwa moja Tu, Kusikiliza maoni ya Wananchi na kuboresha...
  8. Alex Fredrick

    Tubishane kwa Hoja na Itikadi za Vyama Vyetu, Kwenye Masuala ya Msingi Kama Taifa Tusimame Imara Kama Mwamba

    Nchi Yetu Tanzania Kupitia Katiba yetu tumeruhusu mfumo wa Vyama vingi na Uchaguzi wa Kwanza wa Mfumo wa Vyama vingi tumeanza 1995 Toka miaka hiyo tumeshuhudia minyukano ya kisera na kiitikadi kwenye Vyama vyote Pia tumeshuhudia minyukano ya wanasiasa na Wanaharakati kwenye medani za Kisiasa...
  9. Alex Fredrick

    Karibu nusu ya watu waliopo hai duniani mwaka 2025 watakuwepo siku ya unyakuo

    Amen Yesu Kristo wa Nazareth Aliye Hai Atusaidie sana Kuwa na Mwisho Mwema
  10. Alex Fredrick

    Asilimia kubwa ya watu wanaosali katika Kanisa hili naamini watakwenda mbinguni

    Amen, Yesu Kristo wa Nazareth Aliye Hai Ndie Njia Kweli na Uzima.Yohana 14 Mstari wa 6
  11. Alex Fredrick

    Binti yangu umri wa miaka 5 mbishi hataki kutumwa, kwenda shule asubuhi hataki

    Hilo swala la Kiroho Tafuta Kanisa la Kiroho mtoto aombewe, Hizo madhabahu na maroho ya familia. Zaburi 11 mstari wa 3 Misingi ikiaribika mwenye Haki atafanya nini? Pole Sana Lakini Kwa Mungu hakuna lisilowezekana
  12. Alex Fredrick

    Tafadhali sana piga kura yako hapa: Swali: Je, unaamini kuwa Yesu yuaja upesi? Ndio au Hapana

    Yesu Anarudi Upesi na sasa tupo Kwenye Kanisa la mwisho linaitwa Laodikia,Kabisa la viguvugu. Yesu Atusaidie sana Kuwa na Mwisho Mwema
Back
Top Bottom