Recent content by alet

  1. A

    JamiiForums Tanzania Maoni ya abiria na wananchi kufuatia TRC kuongeza safari za treni za SGR kati ya DSM-Morogoro

    Dodoma ongezeni route. Treni ya kwanza inaondoka saa 11 alfajiri, treni ya pili saa nane mchana. Hilo gape la saa 11 alfajiri Hadi saa nane mchana hapo kati ongezeni route.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Tumemkataa mbia barabara ya kulipia Kibaha -Chalinze kwa maslahi mapana ya nchi yetu

    Bado tuna safari ndefu. Mradi wa trilioni Moja nao tufanye kwa ubia fedha ambayo hailipwi in a single day. Hiyo barabara kwa sasa imezidiwa. kwani hatuna vipaumbele
  3. A

    JamiiForums Tanzania 92.5 Dar Bado wanachambua michezo hadi mchana huu saa saba kasorobo. TZ tunasafari ndefu sana

    Ndugu mleta mada hayo mambo unayotaka yajadiliwe nje ya michezo utaishia kutekwa tu. Mfano masaa yanayotumika kujadili mpira uyatumie kujadili Elimu yetu Tz, Uchumi wetu au siasa soon tutaambiwa ulichukuliwa na wasio julikana. Nani anachukuliwa na wasio julikana kwa kujadili mpira?
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hawa maafisa mipango miji, hili likoje?

    Bora hata Dodoma Kuna Open space Nyerere square. Unaweza ukasogea hapo ukapumzika. Miji mingine hakuna hicho kitu Kila sehemu kumejazana nyumba tu Mji haupumui. Ukitaka kupumzika tofauti na nyumbani kwako inakulazimu uende sehemu za kulipia kama Bar
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Biashara Ubungo then asilimia 100 ya products ni imported tena kutoka China, inasikitisha mno

    Mfumo wetu wa Elimu ndiyo unatupeleka kwenye hali hii. China wame-advance technology kupitia Elimu yao kunakowawezesha kuzalisha kwa wingi kupitia technology waliyo nayo na Sasa wanatafuta soko la bidhaa zao. Hicho kituo kitumike kuuza bidhaa za Tanzania nje ya nchi kwa bidhaa zipi...
  6. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Morogoro: Mbunge Abood, amegusa maisha ya Wananchi kwa Miradi ya Maendeleo

    Mji umejaa guta na Bowser zinazouza maji. Mabomba hayatoi maji hayo maendeleo yapi aliyoleta maji ni changamoto ya kudumu miaka nenda rudi. Miundombinu ya shule ya ni chakavu kupitiliza. Labda kaleta maendeleo ya familia yake.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Nani atatusaidia kuondoa 'state capture' Tanzania?

    Wananchi Hatujitambui tupo busy na mpira na kubet. Media nazo zimekuwa programmed kutwa nzima uchambuzi wa michezo, kusifu awamu iliyopo madarakani na kutangaza michezo ya kubahatisha. Cha kufanya tuache woga na tujitambue. Nchi ni yetu sote. Wananchi tukijitambua hakuna nguvu itakayoishinda...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Foleni Mbagala Rangi 3-Kongowe

    Ni kweli kabisa hata Mimi hua ninajiuliza huu utaratibu waliutoa wapi
  9. A

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ardhi azuia mchakato wa kutaka kubomoa nyumba zaidi ya 100 zilizopo Mapinga

    Hizo nyumba 100 hazikujengwa siku moja. Anaejiita Mmiliki wa Ardhi alikuwa wapi wakati makazi ya watu yanajengwa kwenye eneo lake!! Kubomoa nyumba 100 kwa ajili ya mtu mmoja hapana. Kama Sheria zetu zinasimamiwa ipasavyo mbona Kuna race hazipo kwenye magereza yetu au wao hawafanyi makosa! Go...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wa "User Manuals" kwa ajili ya uhamisho wa waajiriwa/kubadilishana kituo kupitia ESS

    Wasiliana na IT wa taasisi yako akupe role kwenye mfumo wa ESS ndiyo utaziona hizo service.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Ni mkoa gani Tanzania kinafanyika kilimo Cha umwagiliaji?

    Karibu Ubaruku Wilaya ya Mbarali Mkoa wa Mbeya.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kama unajitafuta, nenda kaishi wilaya ya Mbarali

    Hatimae na sisi wa Ubaruku (Ibohora, Mkombwe, Utyego) tumefikiwa. Kiukweli Ubaruku pako vizuri. Wageni tunawakaribisha.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Frame Tanzania

    Inafikirisha.
  14. A

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kuna tatizo gani Kingorwila - Morogoro siku 5 mfululizo tangu tarehe 23 August, 2021 hakuna umeme hadi muda huu umeme bado haujarudi?
  15. A

    JamiiForums Tanzania Mbezi Beach hakuna umeme toka asubuhi

    Kuna tatizo gani eneo la Kingorwila - Morogoro tangu tarehe 23 August hadi leo 27 August hadi muda huu hakuna umeme?
Back
Top Bottom