Ushauri kwa wanaume wenzangu, tafuteni pesa achaneni na pesa za wanawake, usipende kuomba hela ya mwanamke kwa matumizi yako. Likiwepo hitaji la familia na huna hela, kaa naye chini na atoe pesa kwa moyo wake na sio kukukopa pesa hizo, yawepo makubaliano ya yeye kutoa hicho kiasi kwa tatizo la...
idadi ya wanawake ulimwenguni imekuwa kubwa sana kiasi kwamba, kila mwanamme mmoja anaweza kuoa wake 10 na bado wanawake watakuwepo so, mwanaume usiumize kichwa kwa mwanamke mmoja na bado wapo 9 wa kwako. Mwanamke akileta za kuleta chukua chuma mpya, sisi ndo tunatongoza sio wao. Ushauri wangu...
Nina ushauri kwa Mheshimiwa Rais Samia, utapita kwenye uchaguzi ujao na ukianza kazi baada ya uchaguzi fikiria kujenga Kariakoo namba 2 Pwani(Kibaha au Mlandizi) kuhepusha msongamano mjini na maghorofa kuzidiwa na kuanguka. Inakuwaje mtu atoke Chalinze kwenda Kariakoo? Mbagala na Temeke na...
Kuna bibi mmoja aliwaroga wajukuu zake wasiolewe, hapo napi vipi? Jamii itafakari hilo pia, sio kwamba wengine wanakataa kuolewa kumbe ni mambo ya familia yao.
China imegundua ilifanya kosa kubwa sana kusimamisha raia wake kuzaa watoto, nguvu kazi imeisha China na wanaotoka kwenda nchi nyingine ni wengi, China imejikuta inaweza kufeli na hivi sasa imeruhusu Wachina kuzaa watoto kadri mtu awezavyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.