Recent content by Alejandroz

  1. Alejandroz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Upi mtazamo wako juu ya hii kauli ya 50 cent kuhusu wanawake?

    " Wanawake hawako na wewe kwa kukupenda . 100% , 90, wapo na wewe kwa kile ulichonacho. Ninapoanzisha mahusiano na mwanamke, kabla hata ya kumkiss kuna fomu maalamu nampa asaini ili kuonesha kuwa ameridhia mwenyewe. Sitaki hadithi kesho iwe tofauti. Wanawake wengi huamini na kudhani kuwa...
  2. Alejandroz

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uhusiano wowote kati ya mfumo wa gesi na gear box ya lorry?

    Salaam wanafamilia, Naonaga mara nyingi dereva akibadili gear kwenye lorry kuna mlio wa gesi kuwa released kama sauti inayotoka akiapply brakes,, naomba kufahamu kama kuna uhusiano wowote wa gear na mfumo wa gesi kwenye trucks,, 🙏🏽
  3. Alejandroz

    JamiiForums Tanzania Kama ukianza kufuga ungeanza kufuga mnyama gani

    Kuku wa aina gani mkuu Kuna kisasa, kienyeji, nyama, mayai, n.k
  4. Alejandroz

    JamiiForums Tanzania Kama ukianza kufuga ungeanza kufuga mnyama gani

    Kibiashara mkuu
  5. Alejandroz

    JamiiForums Tanzania Kama ukianza kufuga ungeanza kufuga mnyama gani

    Salaam ndugu wakulima nawafugaji Husika na mada tajwa hapo juu Twambie wewe ungefuga myama gani? Karibu
  6. Alejandroz

    JamiiForums Tanzania Ukija kuamua kuanza kufuga utafuga mnyama gani?

    Salaam wakulima na wafugaji Kichwa cha uzi cha husika Karibu tutiririke [emoji846]
  7. Alejandroz

    JamiiForums Tanzania Nipo dilema: Je, niuze pikipiki yangu Boxer BM 150 ninunue Shineray inayotumia umeme?

    Najiulizaga inawezekanaje mtu akaona faida kukudanganya wwe hpa wakati hakujui,, ili iwe nini yani [emoji848]
  8. Alejandroz

    JamiiForums Tanzania Nipo dilema: Je, niuze pikipiki yangu Boxer BM 150 ninunue Shineray inayotumia umeme?

    Nilipenda tu jinsi jamaa yangu anatumia unit 2 (400/=) kuja kazini hadi siku 4
  9. Alejandroz

    JamiiForums Tanzania Nipo dilema: Je, niuze pikipiki yangu Boxer BM 150 ninunue Shineray inayotumia umeme?

    Kwakwel boxer ni ngumu aise Yangu pia ni model ya zamani gia 4
  10. Alejandroz

    JamiiForums Tanzania Nipo dilema: Je, niuze pikipiki yangu Boxer BM 150 ninunue Shineray inayotumia umeme?

    Vpi kuhusu gharama za mafuta na charge mkuu?
  11. Alejandroz

    JamiiForums Tanzania Nipo dilema: Je, niuze pikipiki yangu Boxer BM 150 ninunue Shineray inayotumia umeme?

    Nikudanganye wewe ili nipate faida gani bosi
  12. Alejandroz

    JamiiForums Tanzania Nipo dilema: Je, niuze pikipiki yangu Boxer BM 150 ninunue Shineray inayotumia umeme?

    Habari great thinkers Nina boxer bm 150 niliyoitumia kwa takribani miaka 7 (84,000km mileage) sasa kuna mtu katokea anaitaka kwa 1,700,000/= Sasa nilikuwa nafikiria nikiuza ninunue Shineray (1,400,000) yenye shape ya "Scooter" ya kuchaji maana naona ni economy kwenye suala la fuel Sio mtu wa...
Back
Top Bottom