Recent content by aleesha

  1. aleesha

    JamiiForums Tanzania Tunajua Dr. Nchimbi kalazimishwa kujiuzulu na hili linaweza kuwa ndio chanzo cha mpasuko mkubwa ndani ya CCM utakaomwondoa Samia madarakani

    Haondoki mtu hapa na In shaa Allah ikifika 2030, atagonbania Tena kwa sababu kutoka 2021 Hadi 2025, Ile alimshikia Hayati Magufuli hesabu yetu imeanzia 2025..... Mama oyeeee! Asiempenda Mama Allah akupa uhai tukutane 2035
  2. aleesha

    JamiiForums Tanzania Kada wa CCM amwambia wazi rais Samia, haogopi kutekwa wala haogopi mtu

    Huyo siyo kada wa Ccm bali Hilo ni jitu lenye wivu na udini, makada wa kweli haswa wa CCM wako kizimkazi wakifurahia tamasha la kizimkazi mwaka huu wenye wivu watahara sana
  3. aleesha

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Nawapongeza Wanzanzibar, Tumefanya uchaguzi hakuna aliyenyukuliwa

    Wallah Mama Samia unanipa raha sana wakati watanganyika wakiendela na malalamiko sisi tubaendelea kuijenga Zanzibar yetu na nakuomba kabla ya kuondoka Madarakani kidhibiti kisiwa hiki waingie kwa passport huku, sasa hivi ulinzi mkali kuingia Zanzibar ila uimarishe mara mbili
  4. aleesha

    JamiiForums Tanzania CHADEMA walikosea kukubali kuichoma nchi wanayotaka kuiongoza

    Sasa waliotawala nchi wamechukua hatua stahiki za kulinda miundombinu yake, na tumeiona faida yake juzi 77 hakuna kima alojaribu kutoa pua yake
  5. aleesha

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Maridhiano ACT na CCM Zanzibar ni unafki na danganya toto Watanzania kuona nchi ina maridhiano

    Sasa nyinyi mambo ya Zanzibar yanawahusu na Nini ? Mumeshupaza mishingo kutaka kuiharibu Zanzibar, Zanzibar itueko na itaendelea kuwepo Vichogo hi
  6. aleesha

    JamiiForums Tanzania ZANZIBAR, FIFA NA KANUNI YA MWAKA 2004: JE, HOJA IMEFUNGWA AU BADO IPO WAZI?

    Mara nyingi hoja ya Zanzibar kujiunga na FIFA hukataliwa kwa kutajwa mabadiliko ya kanuni za FIFA yaliyofanyika mwaka 2004. Ni kweli kwamba mwaka huo FIFA ilifanya marekebisho ya tafsiri ya neno “nchi” (country) na kuweka msimamo kwamba mwanachama mpya anapaswa kuwa dola huru inayotambuliwa na...
  7. aleesha

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anza kuandaa mlio utakaolia baada ya kuachia Ikulu

    Justice kwa watu waliuwawa Zanzibar mwaka 2001
  8. aleesha

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akizindua Hoteli ya Jaz Elite Aurora, Zanzibar

    Kwani vichogo munataka Nini haswa naona vilio Kila siku
  9. aleesha

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akizindua Hoteli ya Jaz Elite Aurora, Zanzibar

    Wiki nzima hii mlikua munataka Raisi aje hadharani Leo amekuja hadharani munakuja na hoja nyengine maana hata zile hoja za AI hazipo
  10. aleesha

    JamiiForums Tanzania Visiwani Kunani?

    Nitarejea Tena na Tena kwa kile kionjo mlichokipata Watanganyika 29/10. Nina uhakika hakuna atakaerejea upuuzi ule warudi tu wenyewe kina Sarungi ambao wana kijiba Cha roho zidi ya Wazanzibari
  11. aleesha

    JamiiForums Tanzania Somo la HAKI na AMANI kwenye mchezo wa TANZANIA Vs MOROCCO

    Nyie vichogo acheni zenu, nyie na mpira wapi na wapi? Kwanza hamuna ajili ya mpira kazi munawasa sembe tu na bia. Mfano Goli la wazi alilokosa Msuva mwisho wa upeo wa akili yake ndipo ulipoishia 🤣🤣 Watanganyika bana
  12. aleesha

    JamiiForums Tanzania Je, WAVUVI CAMP hii aibu kwa jamii wanayofanya mchana kweupe wapo juu ya Sheria?

    Hayo sasa ndo mambo yenu mnayoyaweza Watanganyika 🤣
  13. aleesha

    JamiiForums Tanzania D25 wananchi tutaandamana kushinikiza usitishwaji wa mauwaji na utekaji nchini sisi hatukubaliani nayo na lazima wahusika tuwawajibishe

    Munajifanya vichwq ngumu sio ila kwa ninavowajua mie vichogo tangu siku Ile walobeep na wakapigiwa October 29 naamini hawatokuja kurejea Tena
  14. aleesha

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mabinti wanafanya kazi uarabuni wanateseka hawana msaada Ubalozi wako kimya!!

    Munataka mulete tabia zenu za kitanganyika huku sio Zanzibar
  15. aleesha

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Je, wakiandaa maandamano ya siku 100, au siku 365 au siku 730 bila kikomo, hali itakuwaje?

    Kwa Ile sindano ilivyowaingia last time sidhani kama mtathubutu kurejea ule upuuzi
Back
Top Bottom