Recent content by ALCUIN

  1. ALCUIN

    JamiiForums Tanzania Usijaribu kusoma kozi hizi, utakufa njaa

    Wengine karibuni mtaani 2jiajiri!
  2. ALCUIN

    JamiiForums Tanzania Ajira za uhamiaji zilizolalamikiwa zafutwa, mchakato kuanza upya

    Bg up. Na Mungu asimamie ktk hilo.
  3. ALCUIN

    JamiiForums Tanzania Ajira za uhamiaji zapelekwa JKT

    Haki, Usawa na Ukweli wa mambo Vitawale daima!
  4. ALCUIN

    JamiiForums Tanzania Maandamano kupinga ripoti ya tume ya Uhamiaji

    Haki ya mtu haipotei, Ila inacheleweshwa tu! Eee Mungu twakuomba uibariki nchi hii Tz.
  5. ALCUIN

    JamiiForums Tanzania Ajira za uhamiaji zapelekwa JKT

    Uhuru na Umoja. Tanzania Nchi huru na ya haki! Ikiainishwa kuwa kina nani waliyopata kihalali na wasiyo halali kati ya hao wateule, na waliyo haki kupewa haki yao, kwa kufanya hivyo basi, usawa usio kuwa na upendeleo wa upande wowote ule utakuwa umewekwa bayana. Mungu ibariki Tanzania.
  6. ALCUIN

    JamiiForums Tanzania Ajira za uhamiaji zilizolalamikiwa zafutwa, mchakato kuanza upya

    Vijana wasio na pingamizi wapewe haki yao, huku wakizingatia vipaumbele na sifa za ziada (fani)
  7. ALCUIN

    JamiiForums Tanzania Ajira za uhamiaji zilizolalamikiwa zafutwa, mchakato kuanza upya

    Hakuna ajira! Vijana tujiajiri!!!..
  8. ALCUIN

    JamiiForums Tanzania Day 1 !!! Uhamiaji

    Kwa kila tarajio yapaswa, kuamini na kushukuru!. Mungu awape wepesi wahanga wote wa nafasi hizo, Amin.
  9. ALCUIN

    JamiiForums Tanzania Day 1 !!! Uhamiaji

    Cha msingi kwa muda huu uliyobakia, ni kuwa tayari kwa lolote lile! Either + Or -
  10. ALCUIN

    JamiiForums Tanzania Day 1 !!! Uhamiaji

    Sk hazigandi tuvute subira!
Back
Top Bottom