Wadau habari zenu.... embu tusaidiane na kujuzana kuwa graduate diploma na certificate wanaenda jkt kwa mujibu wa sheria na post zao zinatokea huko huko jeshini. Nimeckia diploma na certificate wameshathibitisha kwenda huko jkt
we jamaa embu acha kudanganya watu bhac now tpdf hawaajir kutka mtaani aidha utokee jkt au mwanajeshi aliyejiendeleza akagraduate wawaache hao waajir mtu kutoka mtaani acha mambo yako kijana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.