Nimeipata hii sehemu,
KUBADILISHA TARIFF KWA WATEJA
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO)
linapenda kuwataarifu wateja wake wote wa
maeneo ya vijijini kuwa kuanzia tarehe 20
Januari, 2016 wateja wote wa maeneo ya vijiji
watakaounganishiwa umeme kwa kutumia
njiamoja (single phase) wataingizwa...
Maana itaboa tena.
Umesikia tetesi gani kuhusu gari ya verstappen? Ilipata hitilafu au ni mchecheto wa kumpita Lewis??
Dahh ndoo ilikuwa yake kabisa leo
Mkuu hapa mwishoni unachanganya, tuchukue mfano kuna mikoa inaperform kuliko mingine : mfano Mwanza,
Kwa kufuatisha sentensi yako unamaanisha
"Mkuu, Nchi ya Tanzania kwa sasa itakuwa ni mkoa wa Mwanza tu?
kishaija konda msafi njia nzuri ya kupata episode zote kwa urahisi ni kubonyeza profile ya konda msafi uende kwenye posts zake utapata zote alizoandika yeye tu bila kuruka, nimeanza kupitia leo asubuhi episode 1 mpaka saivi mchana nimemaliza zote, unasoma bila comments za watu wengine (ingawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.