Habari wakuu,
Kampuni yangu inajihusisha na solutions za kuimprove safe and transparent fuel utilization.
Systems tuna-install kwenye mobile na stationary tanks. Hivyo wamiliki wa heavy vehicles kwenye construction companies, mining companies, marines, fuel dealing companies na kuendelea hii...