Recent content by Alber_006

  1. Alber_006

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kukusaidia kazi hizi

    Social media marketing, sana sana japo email marketing pia nafanya
  2. Alber_006

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kukusaidia kazi hizi

    Inategemea na wewe una mtaji kiasi gan
  3. Alber_006

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kukusaidia kazi hizi

    Habari zenu wakuu baada ya miaka mingi ya elimu sasa umefika wakati wa mimi hapa kijana wenu kupanda jukwaani kwa ajili ya kuomba connection pamoja na kazi ikiwezekana Nimemaliza mwezi huu katika chuo kikuu cha sokoine cha kilimo nimesoma shahada ya sayansi katika uchumi kilimo na kilimo...
  4. Alber_006

    JamiiForums Tanzania Mtu wa proposal

    Nipo apa mkuu naandika proposal za kila aina bei maelewano nicheki kwa namba 0657710580
  5. Alber_006

    JamiiForums Tanzania chuo kizuri kwa ajili ya Certificate ya Udaktari

    nashukuru sana mkuu ngoja niangalie guidebook
  6. Alber_006

    JamiiForums Tanzania chuo kizuri kwa ajili ya Certificate ya Udaktari

    Habari wana jukwaa nahitaji msaada kwa yeyote anayejua chuo cha private cha afya chenye ada nafuu Dar au Morogoro msaada tafadhali.
  7. Alber_006

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya muda

    Habari za wakati huu wanajukwaa mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sokoine nasoma Bachelor ya science ya Agricultural Economics and Agribusiness umri wangu ni miaka 21. Kwa sasa nipo Morogoro nahitaji Kazi ya muda katika kipindi hiki cha miezi mitatu ya likizo popote pale. kwa yeyote mwenye...
Back
Top Bottom