Alber_006
Member
- Nov 4, 2020
- 8
- 8
Habari za wakati huu wanajukwaa mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sokoine nasoma Bachelor ya science ya Agricultural Economics and Agribusiness umri wangu ni miaka 21.
Kwa sasa nipo Morogoro nahitaji Kazi ya muda katika kipindi hiki cha miezi mitatu ya likizo popote pale.
kwa yeyote mwenye uwezo wa kunisaidia katika hili anakaribishwa mawasiliano yangu ni 0657710580 .
Mungu awabariki sana