chuo kizuri kwa ajili ya Certificate ya Udaktari

chuo kizuri kwa ajili ya Certificate ya Udaktari

Alber_006

Member
Joined
Nov 4, 2020
Posts
8
Reaction score
8
Habari wana jukwaa nahitaji msaada kwa yeyote anayejua chuo cha private cha afya chenye ada nafuu Dar au Morogoro msaada tafadhali.
 
Ada nafuu kwako bei gani maana kwa dsm vyuo vingi ada ni 1.8M Hapo bila michango mkuu, Nashauri pitia guide book ya nacte ya 22/23 tafuta chuo kwa moro utapata vya bei ya kawaida tena utakuta may be 1.4M
 
Back
Top Bottom