Recent content by Albaab

  1. Albaab

    Hakuna ulazima Tanzania kuwa na Waziri Mkuu

    SEHEMU YA TATU WAZIRI MKUU, BARAZA LA MAWAZIRI NA SERIKALI Waziri Mkuu 51.-(1) Kutakuwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano atakayeteuliwa na Rais kwa kufuata masharti ya ibara hii na ambaye kabla ya kushika madaraka yake ataapa mbele ya Rais kwa kiapo kinachohusika na kiti cha Waziri Mkuu...
  2. Albaab

    Hakuna ulazima Tanzania kuwa na Waziri Mkuu

    Kaka Allen Kilewella nikupongeze kwa kuanzisha hoja hii chokonozi, nawapongeza wakuu Kijakazi , macho_mdiliko na wengine wenye michango chanya Nadhani shida siyo nafasi ya waziri mkuu bali tatizo linaanzia kwenye bunge, yani 'Majority' hivyo kumfanya ndugu waziri mkuu kuwa kama kipaza sauti ama...
  3. Albaab

    Kijana usiogope kuzaa mapema, kuna faida nyingi sana za kuzaa mapema, ikiwemo kuwa na watoto wakubwa angali bado ukiwa kijana

    Anchor yourself man! Usiyumbe sana. Kujizuia ni wajibu wako kwasababu una malengo. Mwanamke anakutegemea wewe utumie akili zako kwasababu kikishanuka utaskia 'we ndo umesababisha' kama kwa mzee wetu Abraham, mpaka leo damu yake inachapana hapo middle east kama hawana akili nzuri. Adam, Samson...
  4. Albaab

    Kijana usiogope kuzaa mapema, kuna faida nyingi sana za kuzaa mapema, ikiwemo kuwa na watoto wakubwa angali bado ukiwa kijana

    Hahahah umeandika kwa hasira sana mkuu. Hilo la leseni lisingewezekana sababu kuzaa ni haki ya asili (natural right), ila unaweza kucontrol kama China walivyofanyaga ile ya kuzaa mtoto mmoja sababu walikuwa na target zao and you can see where they landed. Tulikuwa na jando na unyago enzi tuna...
  5. Albaab

    Kijana usiogope kuzaa mapema, kuna faida nyingi sana za kuzaa mapema, ikiwemo kuwa na watoto wakubwa angali bado ukiwa kijana

    Dada mmoja mtoto hayati J P Magufuli amewafanyia utafiti hawa watoto na ameandika kitabu kabisa. Sababu kubwa katika mahojiano yao ni migogoro ya kifamilia, inasikitisha sana mkuu.
  6. Albaab

    Kijana usiogope kuzaa mapema, kuna faida nyingi sana za kuzaa mapema, ikiwemo kuwa na watoto wakubwa angali bado ukiwa kijana

    Sahihi kabisa katika umri huo kwa asilimia kubwa mwanaume anakuwa na ukomavu wa kutosha. Wengi kutoka mataifa makuu kiuchumi duniani wameoa katika umri huo, niligundua hili nikiwa tour guide. Lakini Mwanaume akiandaliwa vizuri anaweza kuoa kwanzia 25, zingatia KUANDALIWA mfano Mo Dewji
  7. Albaab

    Kijana usiogope kuzaa mapema, kuna faida nyingi sana za kuzaa mapema, ikiwemo kuwa na watoto wakubwa angali bado ukiwa kijana

    Umehitimisha vizuri, MWANAUME Sio kuzaa tu bali kuzaa ukiwa kwenye taasisi kuu (familia). Baba ndio anaamua kuoa, ndio mwanzilishi wa famila kuanzia kuchagua spouse, kuwa na mission, vision na strategy kama tu ilivyo taasisi ama kampuni nyingine yenye weledi. Baba ni protector spiritually...
  8. Albaab

    Kijana usiogope kuzaa mapema, kuna faida nyingi sana za kuzaa mapema, ikiwemo kuwa na watoto wakubwa angali bado ukiwa kijana

    Hoja yako ni nzuri ila hapo 'watakuja kukusaidia baadae' ndo napingana napo. Kuzaa ni hitaji la kila kiumbe hai, ila kwa sisi binadamu kwakuwa tuna akili tumewekeana taratibu/sheria, vizingiti/vizuizi kwasababu za ubinafsi. Laiti kama hatungekuwa na choyo, tukawa na upendo wa kweli basi kila...
  9. Albaab

    Should a mother be judged for sacrificing love to secure her family's future?

    Logikos Who are we to judge? it is not selfish nor heroic She's not a materialist nor a martyr IT'S JUST HER CHOICE, every one has theirs. Charles the III asingekuwa King Leo hii kama babu yake mkubwa hakufanya 'choice yake mwenyewe'
  10. Albaab

    Should a mother be judged for sacrificing love to secure her family's future?

    naa vipi huyu 'better option' akifilisika to negative digits kabisa au akiparalyse completely, unaendelea nae au utaruka na 'ndege' mwingine atakayeweza kufulfill your financial 'necessities' kama mtoa Mada alivyoziweka?
  11. Albaab

    Should a mother be judged for sacrificing love to secure her family's future?

    naa is it true that behind every Man's success there's a woman behind?
  12. Albaab

    Uonavyo: Kati ya KWAME NKRUMAH na J K NYERERE. Yupi anastahili heshima ya kisiasa ki mataifa?

    Nadhani kuwashindanisha hawa baba zetu sio sahihi kwani mashindano baina yao wenyewe na wengine ni moja ya sababu kubwa zilizopelekea maanguko/kushindwa kutimiza ndoto zao na kutufikisha 'caanan'. Inflated ego, excessive ego Afrika inahitaji zaidi ushirikiano ili kujenga nguvu moja kubwa...
  13. Albaab

    Marekani ina uhaba wa wataalamu waliobobea kwenye kutengeneza bidhaa za 'high technology'

    Kuhusu population hakuna asiyejua hilo, Unaposema kwamba 94% ya wachina wamekusanyika mashariki ya China 'kwakuwa ndipo yalipo majiji makubwa' Je inamaana kuwa wamarekani 'kusambaa Marekani nzima' ni kwasababu majiji makubwa ya marekani yamesambaa Marekani nzima? Kama ndivyo basi KUDOS...
  14. Albaab

    Marekani ina uhaba wa wataalamu waliobobea kwenye kutengeneza bidhaa za 'high technology'

    Ukishasema rural inakuwa sio 'sub-urban' tena, hakuna access to high end amenities. Kubali hii lifestyle sio culture ya wachina, ni Kwa matajiri wakubwa sana na wachache wanaoweza kuafford such kinda life in China wakati Marekani ni middle class lifestyle. Nilichomekea "Nje ya mada' kwa makusudi...
Back
Top Bottom