Recent content by Alba3

  1. Alba3

    Ushauri wenu kwa wale wenye uzoefu na ujenzi

    Kwa jinsi inavyo onekana hata ramani ya unachotaka kukijenge inaonekana huna.ulicho nacho wewe ni picha ya unakitaka kukijenge.Jambo la kwanza ni vyema ungefanya mpango upate ramani(michoro) ya nyumba unayotaka kujenga.Kama hujui pa kuanzia kupata ramani nipo ntakusaidia lakini utaniripa...
  2. Alba3

    Ushauri wenu kwa wale wenye uzoefu na ujenzi

    Kama huna knowledge kuhusiana na ujenzi ni bora ukatafuta mtu sahihi anayejua akusaidie kukuongoza.itakusaidia kuona thamani ya pesa zako kwa kile unachotaka kufanya.Ukiingia kichwakichwa utakuja kulialia badae.ushauri wangu ni huo.na kumbuka vitu vizuri mara nyingi ni gharama
  3. Alba3

    Ushauri wenu kwa wale wenye uzoefu na ujenzi

    Ungetuma floor plan yenye vipimo inakua ni rahisi kufanya makadilio.Hiyo picha uliyotuma ni vigumu kujua vyumba vyako vinaukubwa gani hivyo basi ni ngumu kukadilia gharama.Karibu pia tukujengee namba za ofisi ni 0756928360
  4. Alba3

    Ukuta Shule ya Sekondari Ngasaro, Shirati Rorya waanguka. Wanafunzi wawili wafariki

    Hizi force account huwa na faida kidogo na hasara nyingi
  5. Alba3

    Fundi ujenzi bora, mwenye bei nafuu njoo unijengee

    n Nimeshakutumia cheki kwenye email yako
  6. Alba3

    Fundi ujenzi bora, mwenye bei nafuu njoo unijengee

    Ok nakutumia cheki kwenye email yako
  7. Alba3

    Fundi ujenzi bora, mwenye bei nafuu njoo unijengee

    Na kwa mtu asiye jua kanuni za ujenzi hawezi ona kasoro.Kwa ufupi watanzania wengi hatupendi kutumia wataalamu katika mambo yetu.Inawezekana sababu ya kutokua na taarifa sahihi,ujuaji mwingi au woga wakuzani ni gharama kubwa.
  8. Alba3

    Fundi ujenzi bora, mwenye bei nafuu njoo unijengee

    Haina tatizo nitumie email yako nikutumie ,au nicheki kwenye namba 0756928360 tuongee.Maana sisi tunafanya designing na kujenga inategemea tutavyo kubariana
  9. Alba3

    Fundi ujenzi bora, mwenye bei nafuu njoo unijengee

    Hiyo dinning na kitchen ni vidogo sana,hiyo nyumba ikikamilika utaichukia.nashauri tu lakini kama unaweza uwa hiyo dinning mita moja uongeze jikoni na hiyo moja ongeza sebureni.Kwa udhoefu wangu hiyo nyumba kujenga boma inacheza 3mil-3.5mil
  10. Alba3

    Natafuta wateja wa kokoto za ujenzi

    Kwa kazi zote kuanzia boma,kupiga bati na kufanya finishing? au kwa boba peke yake yaani msingi na kupandisha kuta?. Karibu tuongee zaidi hivi vitu ni kujadiliana mwisho mnakubariana.Tuonyeshe mchoro na tutembelee site yako karibu tuongee kwa namba hii 0756928360 au karibu ofisini kijichi karibu...
  11. Alba3

    Natafuta wateja wa kokoto za ujenzi

    Ndio tena inaweza ikazidi inategemeana na nature ya site ilivyo.Uhakika wa kazi nzuri na kudumu kwani tutakupa na difect liability period ya miaka miwili.Karibu tufanye kazi
  12. Alba3

    Natafuta wateja wa kokoto za ujenzi

    Kwa vyumba vitatu mpaka finishing inacheza kwenye million 10
  13. Alba3

    Wajenzi tushirikishane jambo katika ujenzi wa nyumba kipindi hiki

    Kikubwa ungetafuta wataalamu sahihi wakuongoze,Tafuta Architect akuandalie michoro kutokana na site zako zilivyo.Pili mtafute QS akutayarishe gharama za ujenzi.Hii nadhani itakusaidia kufanya vitu kwa uhakika zaidi.Ukihitaji Architect karibu napatikana
  14. Alba3

    Ushauri kuhusu ujenzi

    Ukiwa na Architect aliyehusika kukuchorea ramani yako atakuongoza kuanzia hatua ya kwana hadi mwisho jinsi ya kupata kibali chako cha ujenzi.Ushauri tu penda kutumia wataaramu husika kwenye kitu husika.inasaidia sana kupata matokeo chanya kwenye kitu unachokifanya.
  15. Alba3

    Ushauri kuhusu ujenzi

    Kwa kawaida kila ujenzi mpya unaotaka kujenga kama haupo kwenye kibali cha mwanzo unahitaji uwe na kibali cha ujenzi.Japo kuna watu wanajenga bila kufuata utaratibu. Kuhusu gharama za kibali za ujenzi huwa zinatofautiana kutokana na halmashauri.Kuna baadhi ya halmashauri wanafanya sh 50000 kwa...
Back
Top Bottom