Nawapongeza Ktk hilo, lakini je walio kwisha fanya application tayari watarudishiwa the so called "non refundable fee" kiasi walichotozwa kabla ya utaratibu mpya?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani, ktk hili analofanya Mr. President kinatakiwa kuungwa mkono kwa nguvu zote, huyu MTU ni mzalendo sana. Hiyo tume haiwezi kuleta report ambayo haina uhakika, very impossible.
Habari wadau, naomba mwenye mktaba wa kazi ( kazi kwa waajiliwa wa viwandani) naomba anisaidie kuupata. Nahitaji mkataba huo kwa ajili ya kuwasainisha wafanyakazi wangu sasa sijui huwa inaandaliwaje, so through huo mkataba utakao nitumia nami nitaweza Ku frame wa kwangu. mimi Nina bakery...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.