Recent content by AlagasmVeda

  1. A

    Kama walimfukuza Zitto kwa kwenda mahakamani huko kisutu wanafanya nini?

    Mleta mada jaribu kufikiri na kujadili issues ndani ya nafsi yako kwanza kabla ya kuweka kwenye maandishi. Aisee umejiaibisha mpaka naona aibu na hata sikufahamu. Ndugu acha kurukia mambo usiyokuwa na weledi nayo
  2. A

    Huu ndio uzuri wa mheshimiwa Pombe Magufuli

    Ameboresha elimu? Hii tu inaonyesha kuwa haupo serious. Labda kaboresha elimu ya kutumbua
  3. A

    Kwanini Rais anatudanganya?

    Naona wewe ushakuwa mtu wa kujipendekeza. Shame on you
  4. A

    Kenyatta amtumia Lowassa kuwapasha Watanzania

    Ikumbukwe kwamba Raila alimtembelea Magufuli. Sasa Lowassa kaambiwa......."ukirudi huko nyumbani waambie kiti ni cha moto lakini nimekikalia sawasawa." My take.......nadhani Uhuru anasema......challenge ipo kubwa kutoka kwa wapinzani lakini yeye anajihami kubaki madarakani. Hili litakuwa dongo...
  5. A

    Majanga yaliyonikuta kwa kutokunywa maji mengi, usiombe yakukute

    Ngoje nikupe advice.........siyo maji tu yatayokusaidia kuepusha constipation. Kikubwa zaidi ni kula fibrous foods. Yani vyakula vyenye fibers sana. Usile vyakula vilivyokobolewa maana havina fibers na fibers ndiyo huzuia chakula kuwa kikavu wakati kinasagwa tumboni. Kula ugali wa dona...
  6. A

    Maswali ya Papo Kwa Papo Kwa Waziri Mkuu Bungeni Leo: Mbowe Kujengea UKUTA Bungeni?!.

    Akili ndogo ni akili ndogo tu. K Mkuu Pasco umejaribu kuchanganua vyema na nina shukuru sana lakini hii dhana ya serikali zetu za Kiafrika kuwa zina tupilia mbali uongozi wa kisheria ni janga litakaloendelea kututafuna kupata maendeleo ya kweli katika utawala bora.
  7. A

    Maswali ya Papo Kwa Papo Kwa Waziri Mkuu Bungeni Leo: Mbowe Kujengea UKUTA Bungeni?!.

    Kwa maoni yako........unadhani shutuma za viongozi wa upinzani dhidi ya rais na serikali yake kwamba amevunja/imevunja katiba ni tuhuma dhahiri zenye miguu?
  8. A

    Maswali ya Papo Kwa Papo Kwa Waziri Mkuu Bungeni Leo: Mbowe Kujengea UKUTA Bungeni?!.

    Sawa wewe Pasc Kwanza kabisa lazima utambue kuwa......suala la maandamano ni haki ya mtu yeyote kikatiba. Nimeshangaa sana pia kuona una encourage violence against the citizens from the police.
  9. A

    Rais Magufuli: 5,000/= wanazoomba trafiki barabarani hazina shida, ni hela ya kubrashia viatu

    Ukweli Ukweli siyo lazima ushikiliwe na wengi. Kikubwa ni kwamba ameliona hilo. Wewe kwa uelewa mdogo unaona ni jambo dogo lakini kiuhalisia.....rais ameharibu sana hapo.
  10. A

    Waziri wa Viwanda: Tumeongeza kodi kwenye mitumba na itapigwa marufuku ndani ya miaka mitatu

    Hata kama hajawahi fanya hivyo...ni wazo zuri Nifah
  11. A

    Kikwete aliremba mwandiko muda haukutosha akafeli... Magufuli hasomi maelekezo, atafeli

    Hiyo siyo tafsiri ya mleta mada. Yeye anataka uelewe kitu fulani. Pole sana na wewe hukusoma maelekezo.
  12. A

    Wazee Zanzibar waanza kupokea posho

    I agree with you brother that something is better than nothing, but sometimes that something, can actually be nothing.
  13. A

    Wazee Zanzibar waanza kupokea posho

    Siwezi kusifia kumpa mzee $9 kwa mwezi hata kidogo. Mleta mada ameshindwa kugeuza hiyo $9 kwenye hela yetu kwa sababu anajua ni kiasi duni sana. Haya ngoja tuingie kazini tuone kiasi wanachopata. $9 kwa tsh ni 19800 kwa mwezi. Kwa siku ni 19800/30 ambayo ni tsh 660. Sasa mzee wa watu hana...
  14. A

    Udhaifu wa Naibu Spika Dr. Tulia Ackson na Uhuru wa Muhimili wa Bunge

    Nani kakuambia kuijua sheria ni lazima uwe umesomea sheria. Mpuuzi umetupotezea muda kusoma mipasho.
Back
Top Bottom