Recent content by Al_maktum

  1. A

    JamiiForums Tanzania Baada ya matumizi ya superblack nywele zangu zimeharibika

    No way out zinyoe zote kabisa zianze upya
  2. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: control number request DIT inasumbua

    Kwa aliyefanikiwa kuapply dit hyo control namb ilifika baada ya muda gani,,Mimi nimerequest masaa matatu saizi sioni kinachoendelea
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini unaruhusu madalali nje ya duka lako?

    Madalali wa karume, kkoo wanaudhi, mda mwingine afadhali ukanunue kitu mlimani city hata Kama Bei kubwa lakini kizuri kuliko kuibiwa na hawa
  4. A

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kalemani: Watazania 15000 wataajiriwa katika ujenzi wa bomba la mafuta

    Hao 15000 ni skilled au unskilled labour?
  5. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wenye viona mbali: binti aliyesoma PCM, div 3

    mpeleke aanze dip ,, lakini mchunge akae mbali na masela
  6. A

    JamiiForums Tanzania Toa maoni yako hapa kuhusu mtaala wa Elimu Tanzania ili uboreshwe

    Form 5&6 zifutwe,, vijana waende chuo direct wakitoka fom 4
  7. A

    JamiiForums Tanzania ushauli kuhusu kusoma medical doctor

    Yes,, Udom uhakika
  8. A

    JamiiForums Tanzania Uhakiki vyeti Rita ushaanza?

    Elf 3 Rita,elf 3 stationery,500 scanning
  9. A

    JamiiForums Tanzania Uhakiki vyeti Rita ushaanza?

    Yes
  10. A

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali, mabaka meusi usoni niyaondoaje?

    Kwa asili mimi ni mweupe lakini kuna hali ya weusi kwenye paji la uso hali inayofanya kuwa na rangi mbili. Kwa mtaalamu mwenye uzoefu na hii hali maana JF ina watanashati wengi tuelimishane ni sabuni au mafuta gani yataondoa hii hali ya mabaka, nimejaribu apricot scub sioni matokeo. Nawasilisha.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Uhakiki vyeti Rita ushaanza?

    Only 5 working days
  12. A

    JamiiForums Tanzania Wababe wa pure mathematics tupeane majibu hapa

    Good job
  13. A

    JamiiForums Tanzania Uhakiki vyeti Rita ushaanza?

    Aaa shukrani asee
Back
Top Bottom