Recent content by Al maktoum

  1. Al maktoum

    GE2025 Polisi: Padre aliyedai ametekwa, hakutekwa. Alisafiri mwenyewe kwa basi na kwenda Mbeya

    Kabisa yaani! Umetubeep nikaona nikupigie kabisa! 😄😄😄
  2. Al maktoum

    GE2025 Polisi: Padre aliyedai ametekwa, hakutekwa. Alisafiri mwenyewe kwa basi na kwenda Mbeya

    Tuko hapa na Uzi tumeishauona kitambo sana yaani! Mbona kule Kamachumu mkoani Kagera kuna kesi ya padri wa kanisa katoliki anakabiliwa na kesi ya kushiriki mauaji ya mtoto albino na sisi waislamu hatukushangaa kwa sababu tunajua watu ambao akili zao zimeathiriwa na ulaji wa nyama za nguruwe...
  3. Al maktoum

    Jumuiya ya wanawake wa kiislamu wampongeza Raisi Samia

    Nenda wewe katoe hiyo misaada kwa watoto yatima. Tusipangiane cha kufanya kwani Tanzania ni nchi huru.
  4. Al maktoum

    Sheikh Kassim Mafuta amkumbuka kanali Muammar Gadafi

    🛑 📻 LIVE ZIARA YA KIDA'AWA 1446H - 2025M 📡 MUHADHARA BAADA YA ASRI MRKAZ AL- IMAM SHAWKAAN SULTAN AREA MOROGORO MJINI 🎙️ MUHADHIRI :- SHEIKH ABULFADHLI KASSIM MAFUTA KASSIM حفظه الله Radio Link 1 https://salafussaalih.net/redio-masjid-abi-dharr-jundub-bin-junaadah-moshi 📡TELEGRAM LIVE...
  5. Al maktoum

    Sheikh Kassim Mafuta amkumbuka kanali Muammar Gadafi

    📡LIVE MUHADHARA 🕌 MA'AHAD SHEIKHIL ISLAM IBN TAYMIYYAH - PONGWE TANGA - TANZANIA 🇹🇿🕌 DHUL-HIJJA 2️⃣2️⃣ 🏝️1446-2025🏝️ 🔈 ZIARA YA KIDA'WAH DODOMA 📢 LIVE MUHADHARA📢 🕌 MASJID MANYEMA BARABARA YA SABA 🎙️MUHADHIRI 🎙️🎙️SHEIKH ABUL FADHL KASSIM MAFUTA KASSIM حفظه الله تعالى ورعاه...
  6. Al maktoum

    Sheikh Kassim Mafuta amkumbuka kanali Muammar Gadafi

    🛑 📻 LIVE ZIARA YA KIDA'AWA 1446H - 2025M 📡 MUHADHARA BAADA YA MAGHRIBI MARKAZ IBN QUDAMAH SINGIDA 🎙️ MUHADHIRI :- SHEIKH ABULFADHLI KASSIM MAFUTA KASSIM حفظه الله Radio Link 1 https://salafussaalih.net/redio-masjid-abi-dharr-jundub-bin-junaadah-moshi 📡TELEGRAM LIVE LINK 2...
  7. Al maktoum

    Sheikh Kassim Mafuta amkumbuka kanali Muammar Gadafi

    🛑 📻 LIVE ZIARA YA KIDA'AWA 1446H - 2025M 📡 MUHADHARA BAADA YA DHUHRI MARKAZ IMAMUL AJURR BABATI 🎙️ MUHADHIRI :- SHEIKH ABULFADHLI KASSIM MAFUTA KASSIM حفظه الله Radio Link 2 https://salafussaalih.net/redio-masjid-abi-dharr-jundub-bin-junaadah-moshi 📡TELEGRAM LIVE LINK...
  8. Al maktoum

    Sheikh Kassim Mafuta awaasa Waislamu kuilinda amani ya Nchi

    Sheikh Kassim Mafuta amkumbuka kanali Muammar Gadafi. Assalaamu a'laykum. Waislamu na watanzania kwa ujumla wametakiwa kupata mafunzo na mazingatio kutokana na matukio yaliyotukia miaka ya nyuma katika kile kinachotambulika kama " vuguvugu la waarabu " ( Rabiiu'l Arab ) ikiwa pamoja na tukio...
  9. Al maktoum

    Sheikh Kassim Mafuta amkumbuka kanali Muammar Gadafi

    Assalaamu a'laykum. Waislamu na watanzania kwa ujumla wametakiwa kupata mafunzo na mazingatio kutokana na matukio yaliyotukia miaka ya nyuma katika kile kinachotambulika kama " vuguvugu la waarabu " ( Rabiiu'l Arab ) ikiwa pamoja na tukio la mapinduzi kisha mauaji ya aliyekuwa kiongozi wa...
  10. Al maktoum

    Vishwash Kumar raia wa Uingereza ndiye abira pekee aliyenusurika kwenye ajali ya ndege ya Air India iliyodondoka leo

    Bwana supu ya kokoto umeulizwa wewe unayemwambia mwenzio get yourself educated kabla ya kutoa comment wewe elimu yako ni kiasi gani? Na je unaweza kuonyesha cv zako hapa ili tuwe na uhakika kuwa wewe ni educated person na sio mbabaishaji kama wababishaji wengine? Pia wewe humu jf una nafasi gani...
  11. Al maktoum

    Vishwash Kumar raia wa Uingereza ndiye abira pekee aliyenusurika kwenye ajali ya ndege ya Air India iliyodondoka leo

    Kuna watu wanachanganya kati ya kusoma na kwenda shule. Sio kila aliyeenda shule kuwa ni msomi na siyo kila ambaye hakwenda shule kuwa hajasoma . Elimu ilikuwepo kabla shule hazijajengwa kwa sababu tutakuwa wapumbavu wa Karne tukisema kuwa shule ya kwanza kujengwa hapa duniani ilijengwa na watu...
  12. Al maktoum

    Serikali imejipangaje kidiplomasia kumruhusu mhubiri dini mtata anayesakwa na India kutua nchini?

    Mimi nikupe ushauri tu, kwakuwa dunia imebadilika badili na dini yako ili ujiunge na dini zinazobadilika kutokana na mazingira na wakati. Watu ambao hamkupita madrassa mna matatizo sana yaani ndani ya uislamu mpo mguu ndani mguu nje, tokeni kabisa tuone kama uislamu utapungukiwa kitu kwa...
  13. Al maktoum

    Jumuiya za Kikristo toeni tamko la kupinga mdahalo unaolenga kudhalilisha ukristo

    Mimi ni muislamu wa kuzaliwa na uislamu nimeusoma na kuusomesha.! MUISLAMU WA KWELI HAWEZI KUMTUKANA KRISTO (MASIHI ISA MWANA WA MARYAM ) Kumtukana Kristo (MASIHI ) ni ukafiri na muislamu akimtukana MASIHI au mama yake masihi yaani Maryam muislamu huyo anakuwa kafiri na anakuwa amejitoa rasmi...
  14. Al maktoum

    tiGO, mlikosa jina lingine la kutumia?

    Ngoja nianze kufatilia ofa na gharama za vifurushi vya vodacom nihamie voda fasta. Voice and Data Communication ndio mpango hao wengine niwaache na NYASH yao!
  15. Al maktoum

    tiGO, mlikosa jina lingine la kutumia?

    Jina halina mvuto kabisa ! Natamani nihame kabisa mtandao wao ni vile tu nimeziea na sina experience a huduma za mitandao mingine. Mbaya zaidi kwenye huduma za kifedha badala ya kusema iwe yas pesa au yas money wanaleta mambo hatujayazoea eti mix by yas sijui vitu gani!! Mimi nitaendelea kusema...
Back
Top Bottom