Recent content by Al kuwari

  1. A

    Uingereza: Chris Whitty asema hakuna haja ya lockdown, wataishi na Corona kama mafua

    Don't lie broo,am in manila philippines,there was and still lockdown continues.
  2. A

    Waislam nijibuni hili

    Punguza jazba muelewe alichosema kwa jicho la tatu. Kuna waislamu baadhi wanalalamika juu ya mfumo kristo kwamba unetawala tanzania viongozi wengi wa serikali ni wakristo hata teuzi za raisi nyingi ni wakristo sababu ndio hiyo aliyoitoa jamaa kuwa waislamu tupo bize na madrasa na misikiti bila...
  3. A

    Zitto: Ukweli ndege zinazonunuliwa ni mitumba wanafanya marekebisho na kuuziwa kwa bei ya mpya

    we kijana usijifanye unajua sana ndege peke yako dreamliner zina variants tatu dash 8 dash 9 na dash 10 na kinachozitofautisha hizi zote dash 8.9.10 ni idadi ya abiria na range uwezo wa kuruka bila kutua.hizo variants zote 8.9.10 zote zipo sokoni katika production line kwahiyo usiwadanganye watu...
  4. A

    Tanzania yapata mkopo kuendeleza miradi ikiwemo reli ya SGR

    unajitoa ufahamu au.fedha yetu ya ndani nikutoka dar mpka makotopora 743 km ambayo reli imeshaanza kujengwa na sasa imeshafika 75%.hawakusema reli yote tutajenga wenyewe hapana.saiz wale waliokataa kutupa mkopo pale mwanzo ndio wameanza kujitokeza baada ya kuona tumeanza wenyewe.mikopo duniani...
  5. A

    Rais Magufuli: Huduma za NIDA ziwe kila Wilaya au NIDA watoe hela ya 'guest' kwa Wananchi. Ukiona bei ya mahindi iko juu, kalime yako

    Naomba nitoe ushauri kuhusu vitambulisho vya taifa.hao nida ilitakiwa wawepo kila wilaya na ofisi za kudumu ambozo hizo office inatakiwa ziwe na kila kitu kwa ajili ya kutengeneza vitambulisho na sio nida wawe wanatembelea watu hapana.nchi zote ndio wanafanya hivyo.
Back
Top Bottom