Recent content by al karim

  1. A

    JamiiForums Tanzania TV4Sale Tunauza smart TV

    Caveat emptor
  2. A

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Classic Perfumes Available

    nahitaji hizo ulizo nazo please direct/ or delivery
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa na biashara ya shisha atupe muongozo

    Chupa moja (mtambo) unauzwa 150,000 inputs zinauzwa 3000 ww unauza 20,000 mpaka 25,000 so faida ni kuanzia 17,000 mpaka 22000 kwa muuzo mmoja
  4. A

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Classic Perfumes Available

    Naomba bei ya hizi zifuatazo 1.Sauvage 2,Coco Channel 3.Issey Miyake ya zamani chupa nyeupe kubwa 4. Scandal
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kunguru wa Dar es Salaam

    Ni kweli,kama sasa hivi wamefika Pwani na Morogoro,na wakiingia tu wale kunguru native wenye alama nyeupe kifuani wanawakimbia maana pamoja na wao kuwa na umbo kubwa hawa weusi wanashambulia mayai na makinda yao. Ni tatizo sana
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kunguru wa Dar es Salaam

    Wapi huko?
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kunguru wa Dar es Salaam

    Salaam wakuu, hawa kunguru Dar wamekuwa sio tishio kwa viumbe wengine kama ndege n.k kwa kula mayai na vifaranga vyao, lakini pia wanasumbua binadamu kwa kelele, uchafu, kula mifugo yao kama vifaranga vya kuku, watu wa mazingira, ecosystem mko wapi jamani? Binafsi nimejaribu kila sumu hawafi...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Je, na umekuwa ukiipuzia taa ya tahadhali kwenye gari yako?

    Makofia Ilala
  9. A

    JamiiForums Tanzania Hivi makomando wa JWTZ wako competent kweli kulinganisha na wenzao wa nchi nyingine?

    Mtoa mada I'm sorry to say lkn ww ni mtu unayeweza kuwazarau hata wazazi wako na kuwatamani wa jirani au wazungu,just in your own profession jilinganishe na wa US be you a politician,lawyer,banker etc. We in UN,Africa,EAC are very proud of TPDF,never failed,since Liberation...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Neti original za Tent kwaajili ya kujikinga mbu

    Hiyo ndiyo bongo mkuu,usikate tamaa net nzuri sana,wateja wapo
  11. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Msaada kuna mzigo nataka kusafirisha kutoka China kuja Dar es Salaam

    Silent ocean,wana ofisi China na Tz
  12. A

    JamiiForums Tanzania Marekani: Tume ya Biashara yaitaka Facebook iuze WhatsApp na Instagram

    Faida ni kubwa sana,wanauza taarifa kwa makampuni makubwa,vyombo vya usalama,wanasiasa nk
  13. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta ule mkaa mbadala

    Rugiga 0676303277
Back
Top Bottom