Recent content by AL GHUSH GUSH

  1. AL GHUSH GUSH

    Msaada: Nimefungiwa WhatsApp

    Download whatsapp nyingine Lkn ili kuverify namba tumia njia ya call verification (confirmation) yani badala ya kutumiwa code kwa messages basi na uhakika itarudi account yako Nb Punguza magroup yasio na maana cause kuna scammers wanapambana kuhack account za watu.
  2. AL GHUSH GUSH

    Kila nikitaka kufanya tendo la ndoa, hapohapo hamu inapotea

    Acha punyeto mara moja , pumzika walau wiki 1 bila kuangalia hayo maporno then jitahd uwe unatafuna tembe za kitunguu swaumu kila siku japo kimoja na tangawizi usisahau kufanya mazoezi hata ya kukimbia kidogo. Punguza mawazo kama kuna majanga unayawazia ,, Nb Kama ulikula mke wa mtu hapo subr...
  3. AL GHUSH GUSH

    Tulipotezeana kwa muda kisa tu anahisi mimi nina mtu mwingine

    Pole sana kijana Lakini kwa scenario jinsi ilivyo huyo demu alikuwa anakutafutia sababu yakukuweka mbali ili afurahie penzi lake hilo na huyo mshikaji mwingine ,kiufupi hiyo mbinu aliyotumia huyo demu wako mademu wengi wanaitumia pindi wanapokuwa wanatongozwa na mtu mwingine au wanarudiana na...
  4. AL GHUSH GUSH

    Hivi ni tukio gani lilikufanya ukajutia kuwa masikini?

    Sipingani na wewe kuwa umaskini ni mindset lakini pia unatakiwa kujua kuna wakati ambao kuna vita kati ya mindset na reality (mindset vs reality). Reality yako ni kwamba kweli huna kitu kwa kipindi hicho but mindset yako ndio itakayokuongoza kuikubali hali hiyo au laah but solution ni kwamba...
  5. AL GHUSH GUSH

    Hivi ni tukio gani lilikufanya ukajutia kuwa masikini?

    Nakumbuka mwaka 2015 nimemaliza form six yangu baada ya matokeo kutoka nilifaulu vizuri nikafanya application za mikopo na vyuo. Mungu mwema mkopo nilipata japo asilimia chache sana kama 3% hivi. Ishu ikaja kwenye nauli yakunitoa mkoa husika kwenda mjini Daslam kuanza hicho chuo plus gharama za...
Back
Top Bottom