Recent content by akroatis

  1. akroatis

    Software ya kuendesha biashara ya kukopesha pesa (Micro-credit system)

    Lengo langu sio kutengeneza software ya kuendesha taasisi kubwa kama Finca, hao wanafaa software kubwa ambayo inashughulikiwa na developers zaidi ya 10. Mimi lengo langu ni kutengeneza software kwa biashara ndogo na zinazoanza, walengwa wangu ni wale wanaotumia daftari au excel, ambao unakuta...
  2. akroatis

    Software ya kuendesha biashara ya kukopesha pesa (Micro-credit system)

    Nimekuelewa mkuu, ni kweli kuunda software mtu mmoja huwa ni shughuli kubwa na ya kuchosha, ila mimi binasfi nimeshajiwekea ka uzoefu kidogo. Kuhusu reports, pia nimeshazipitia sana, maana kipindi cha nyuma nilipokuwa naanza kazi yangu, ilibidi nipate shule kidogo kuhusu ripoti zote muhimu za...
  3. akroatis

    Software ya kuendesha biashara ya kukopesha pesa (Micro-credit system)

    Asante, ushauri wako ni mzuri sana, na nitaufanyia kazi Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  4. akroatis

    Software ya kuendesha biashara ya kukopesha pesa (Micro-credit system)

    https://play.google.com/store/apps/details?id=mkama_makoko.stock_manager Stock manager and sales register kwa biashara ndogo na za kati Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  5. akroatis

    Software ya kuendesha biashara ya kukopesha pesa (Micro-credit system)

    Hiyo ndo changamoto kubwa niliyoiona, kampuni nyingi bei zake ni kubwa sana kwa biashara ndogo na zinazoanza Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  6. akroatis

    Software ya kuendesha biashara ya kukopesha pesa (Micro-credit system)

    Habari, mimi ni kijana ninaye jihusisha na kuunda software mbalimbali ikiwemo za simu(mobile apps) na webstite. Katika kazi zangu zilizopita, nilipata fursa ya kufanya kazi katika kampuni ya kuunda software mablimbali, ikiwemo sotware ya micro-credit. Katika kufanya kazi kwangu, niliona...
  7. akroatis

    Android application kwa ajili ya kurekodi mauzo yako (Stock manager & sales register)

    Ni bure Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  8. akroatis

    Android application ya rukerodi mauzo ya biashara ndogo na za kati

    Naomba msaada wa jinsi ya kuboresha application yangu ya android. Niliiunda kwa uziefu wangu na kuuliza marafiki wenye uzoefu biashara lengwa. Niliifanya iwe na functions muhimu tu kwa mwanzo. Ila bado napenda kuendelea kuoboresha iwe nzuri zaidi. Tembelea ukurasa wa topic yenye maelezo zaidi...
  9. akroatis

    Android application kwa ajili ya kurekodi mauzo yako (Stock manager & sales register)

    Call, whatsapp, telegram, signal, sms: 0689420168 Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  10. akroatis

    Android application kwa ajili ya kurekodi mauzo yako (Stock manager & sales register)

    Melezo ya application nimeyaweka kwa kiswahili, maelezo kwa sasa yanaelezea: Kusajiri bidhaa (item register) Kuongeza idadi ya bidhaa husika (restock) Kufanya mauzo kwa wateja wako (sells) kuangalia repoti za biashara Kama una ushauri wa maelezo mengine ya kuongeza, usisite kuyataja. Na kwa...
  11. akroatis

    Android application kwa ajili ya kurekodi mauzo yako (Stock manager & sales register)

    Picha za screen ya application zipo nyingi, ila ingependeza ukatembelea ukurasa wake playstore ili kuziona kirahisi. Ila baadhi ya picha za updates mpya, hizi hapa Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  12. akroatis

    Android application kwa ajili ya kurekodi mauzo yako (Stock manager & sales register)

    Habari, nakuja tena kukutaarifu kua, application ya Stock manager & sales register imefanyiwa marekebisho ya muonekano wake, na kuwa wa mvuto zaidi. (linki ya application kwenye playstore) Lengu kuu la hii application ni kumsaidia mfanya biashara mdogo kuwa na uwezo wa kurekori, na kupata...
  13. akroatis

    Nawezaje kutumia mifumo ya computer kurahisisha kurekodi mauzo, madeni na kuhesabu mzigo

    Habari, Tunatoa huduma za kutengeneza system mbalimbali. System ambayo unaihitaji wewe tunato. Tunaweka fanya customization kwenye system yetu ikidhi mahitaji yako. System zetu ni salama, na utaweka kuzitumia kwenye kifaa chochote chenye internet. Pia tunaweza kukutengenezea mobile application...
Back
Top Bottom