Kwa wapenzi wa iOS , iOS 9 beta iko out ,nimeweka kwenye phone yangu iko cool sana . Hii imetoka Kwa ajiri ya developers but mtu wa kawaida unaweza kuiweka Pia kupitia iTunes . Ni upgrade nzuri sana ikiwa na features kibao ikiwamo kupungua Kwa size, power savings , speed na appearance siri...