Ukishakuwa kwenye mfumo wa kigaidi ukitoroka lazima magaidi wakutafute kukuua ili husitoe siri.Vivyo hivyo mafisadi wa CCM wanamtafuta Lowassa kwa Kila hali ili hasipate uraisi hasijekutoa siri zote Za ufisadi ndani ya mfumo wa CCM.Hii ndo vita kuu anayopigana Lowassa.Lakini kwa Kuwa amechagua...
Hii nchi ina watu wa kuhurumiwa sana.Badala ya kuunga mkono juhudi Za kuhakikisha haki katika uchaguzi tunakalia mizaa.Nani hasiyejua hatuna tume huru na CCM inahaha kutafuta goli la mkono.Haki ikitendeka mshindi anapatikana kwa Uhalali haijalishi ni CCM au UKAWA kunakuwa na tatizo gani?Acheni...
Na si Kwamba Kila Mtu atatabaki kituoni.watu wanazo shughuli na ikumbukwe ni jumapili watu hupumzika .Wale wanaotaka kubaki wabaki Mita 200 na jeshi liwalinde na kuwahakikishia usalama.Watakaovunja Sheria Kama ilkitokea Japo haitegemewi basi Sheria ichukue mkondo wake lakini police nao...
Sasa si ufurahi kimya kimya ?unamweleza nani na kwa nia gani?mkubali msikubali CCM Tz haijapata Kuwa na upinzani wa kiwango hiki tangu uchaguzi wa vyama vingi.Hadi sasa CCM hawana uhakika wa kushinda Ndo maana wanatengeneza goli la mkono.Jiulize wanaogopa nini watu wakikaa Mita 200?Hata...
Kung'ang'nia madarakani inaweza Kuwa mtu au chama.Hapa kwetu watu wanataka madarakani Ila Chama chao kinabebwa na tume na vyombo vya usalama hata Kama hakitakiwi tena.Hapo hamna tofauti na kulazimisha kukaa madarakani na inakera Kila anayetoka anahakikisha anaweka mtu wa kusimamia maslahi yake.
Kila Mtu ataenda peke yake kisha mtakutana kusoma matokeo ndo utakuwa mkusanyiko tayari na tutapigwa.Sasa matokeo tutaletewa nyumbani na CCM au na tume?
Piga kura baki kusubiri matokeo nje ya Mita 200.Imekaa vizuri sananhiyo .ujumbe usambazwe Tz nzima utaratibu si Kulinda Kura Bali ni kusubiri matokeo.Wenzetu hawataki kujua matokeo sasa wakienda nyumbani watayajuaje .Wengine Nyumba zetu ziko within 10 meters sasa tutaenda Wapi?Halafu kwanini...
Tunahitaji mabadiliko.Woote tumeharibiwa na mfumo wa CCM.Hata Mimi na wewe ni tufisadi tudogo dogo tuloiharibiwa na mfumo.Tunaposema mabadiliko ya mfumo tunamaanisha .Tumefika mahali ambapo Wote ambao tuko CCM ni hatujitambui wala hatutambuliki Kama ni wabovu hadi tukishatoka huko.Kwa hiyo...
Wapeni raha Lowassa na Mama Lowassa.Wamebebeshwa dhabi na matusi ya watu wengine kwa muda mrefu.Lakini Mungu ajuaye haki na kulipa wema kawainua na sasa njia ni nyeupe.Asante Mungu Kwani umetenda .Amen Amen Amen.Lowassa ni raisi kwa jina la yesu na Mtume.
Umeshaambiwa tatizo ilikuwa Chama Kama hapa Tanzania tatizo ni CCM.Ndo maana Lowassa alivyo toka CCM akakubali.Hata Magufuli akitoka CCM anaweza kukubalika mwaka 2025 baada ya Lowassa kumaliza kipindi chake.
Suburi akipita Lowassa Mitaa hiyo.Haitakuwa mamia bali mafuriko.Kisha watu hawatakumbuka tena Kama Mwigulu au Magufuli walipita.Lowassa ni tishio na nyota yake haina mpizani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.