Naliona anguko la CCM tarehe 25 Oktoba, 2015

Naliona anguko la CCM tarehe 25 Oktoba, 2015

Uloi nga mâché68;14324881 said:
Wewe jidanganye tu. Ccm haiondoki leo au kesho. Ukiwa ndio mwisho wao oktoba 25
Aise kweli tanzania kuna watu wakupimea akili.

Hadi sasa bado upo ccm???nchi ipo gizan toka jana asubui hadi leo asubui no umeme.
Bado unakuja hapa unandika ujinga tu.
 
Mikakati ya LOWASSA ndiyo mnawabambikia CCM? NA hilo JIZI lenu mbona mtatafuta pa kujificha na msipapate.

Pole mkuu hiyo siyo dawa ni sumu inaitwa LOWASSA ikukuingia hakuna kupona kwa hiyo wewe na CCM yako kwa heri
 
CCM imeishiwa pumzi ya kuongoza watanzania,ni wakati wa mabadiliko by : kingunge
 
Kinana anapiga kampeni Hali meli take imehusika NA Kubeba meno ya Tembo aibu ccm hii
 
chadema mmedanganywa au sijui mnajidanganya sana.

mnajidai kwamba nyie ni chama chenye mfumo imara, sasa huu uimara wenu uko wapi? miezi mitatu sasa mmeshindwa kujaza nafasi iliyo wazi ya katibu mkuu, ndio mtaweza kushinda uchaguzi na muongoze hii nchi? kwa mfumo huu dhaifu unao mruhusu mtu atokee huko alikotoka na kwa binafsi yake kuamua kuwa mgombea wenu wa urais!!!???


Hiyomsiyo priority kwa sasa. Ukawa imejikita kuliondoa magamba kwanza, mengine baadaye.
 
baada ya tarehe 25 oktoba hamta kuwa tena na fursa hii.

ita kuwa mnalumbana kuhusu mmiliki halali wa chadema ni nani?

mtaanza kulaumiana na kutaka kujua nani nimuasisi wa sera ya kubadili gia angani?
Naona wewe ni mrithi wa shekh Yahaya. Endelea kutabiri
 
Zikiwa zimebaki siku chache kabla ya watanzania hawajapiga kura. Dalili zote zinaonyesha anguko kubwa la CCM iliyodumu madarakani kwa zaidi ya nusu karne. Tofauti na chaguzi zingine zilizopita, CCM hawana uhakika wa kushinda, hakuna mkoa wanaoweza kujihakikishia ushindi kama ilivyokua awali.

Swala la kukimbiwa na makada wake maarufu mfano Kingunge na wengine limezidi kuiweka CCM kwenye wakati mgumu. Kauli za baadhi ya makada ndani ya CCM mfano mzee Mkapa, Bulembo, Nape na wengine kimezidi kuleta mgawanyo ndani ya hiki chama kikongwe.

Ugumu mwingine na swala la mgombea John Pombe kutosikiliza mawazo ya team ya kampeni ambapo baadhi ya vyombo vya habari vimekua vikiriport kuwa ni mtu asjiyeshaurika. Kauli ya mgombea Magufuli kuwa kuna watu mchana wapo na yeye na usiku wako UKAWA siyo ya kubezwa, kuna uwezekano mkubwa kuwa CCM haijui ukubwa wa tatizo hili, mfano kila wanapokuja na mikakati taarifa zinavuja mapema hata kabla ya utekelezaji ukweli ni kuwa kuna watu ndani ya CCM wameamua kubaki kama strategy ya kukiua chama,.

Information is power, ndio mana kwa strategies hizi UKAWA imeendelea kuimarika licha ya changamoto mbalimbali. CCM kwa sasa wanafanya damage control, team ya zaidi ya watu 30 iliyoundwa kumsaidia Magufuli haijaweza kumnadi Magufuli kama ilivyotegemewa.

Swala la CCM kumtukana Lowassa ilihali kabaki kimya na kuendelea na kunadi sera kwa wananchi nalo ni pigo kwa CCM. Katika maisha ya kawaida kabisa unamtukana matusi mtu asiyekutukana, nani anaonekana mwendawazimu mbele ya wapiga kura? S

Siasa za CCM zisizoendana na mahitaji ya sasa ndizo zilizomfanya Lowassa kuendelea kukubalika kila anakokwenda, dalili au ishara za CCM kuanguka ni kubwa kuliko chaguzi zilizopita!

Mabadiliko yanakuja, siamini hata kidogo kama CCM kwa sasa wanategemea bao la mkono kama kete yao ya mwisho ya ushindi!

Tafakari na chukua hatua..

Pombe Hafai Kuwa Hata Katibu Kata Kwani ni Muhasherati Kupindukia
 
Hivi kweli KINGUNGE NA MWAPACHU NI MAKASA MAARUFU CCM?

Makasa ndo nini Mkuu au ndo kuchanyikiwa kunakotokana na hofu ya kushindwa. Hahaa spati picha wale vijana walioporomosha mitusi kwa mamvi watakimbilia nchi gani
 
mtoa mada unaona mbali sana..
Mungu akubariki..
wamechanganyikiwa CCM hadi wanaanza kuunda majopo ya serikali ijayo wakati hata uchaguzi bado na hali yao ikizidi kuwa mbaya huku vigogo wa chama hicho wakizidi kukikacha kutokana na uwoza ndani ya chama hicho !
wanatofauti gani na mwanamke tasa anaeandaa nguo kwa matumaini ya kupata mtoto.

Wanaogopa watu wa ccm wanavyo kikacha chama ndo maana wanaamua kuanza kujihami kwa stail hyo ndo maana had sasa baraza LA mawazili halijavujwa
 
Ukiona mgonjwa anaomba sana uji, mara aseme anajisikia nafuu ujue hatachukua muda kukata roho. Ukiwa wanajipa matumaini yasiyo na uhakika na kutoa visingizio vingi kwa Tume. Hizo ni dalili tosha za kuanguka tarehe 25/10/2015!
 
Aise kweli tanzania kuna watu wakupimea akili.

Hadi sasa bado upo ccm???nchi ipo gizan toka jana asubui hadi leo asubui no umeme.
Bado unakuja hapa unandika ujinga tu.
mkuu,jitu linakaa kwa shemeji yake.ukiliambia hizi mambo halitakaa lielewe.

Ukiona mgonjwa anaomba sana uji, mara aseme anajisikia nafuu ujue hatachukua muda kukata roho. Ukiwa wanajipa matumaini yasiyo na uhakika na kutoa visingizio vingi kwa Tume. Hizo ni dalili tosha za kuanguka tarehe 25/10/2015!
huu mfano wako unasound zaidi ccm kuliko ukawa.

Mara jopo la watendaji.
Mara twaweza 68%.
Mara bla bla bla.....
 
mkuu,jitu linakaa kwa shemeji yake.ukiliambia hizi mambo halitakaa lielewe.


huu mfano wako unasound zaidi ccm kuliko ukawa.

Mara jopo la watendaji.
Mara twaweza 68%.
Mara bla bla bla.....
Mara tulinde kura mita mia 200 wakati zipo chumbani huzioni!
Mara Tume siyo Huru, wakati viongozi wenu hawakupigania marekebisho ya katiba ya sasa Bungeni,walijiziuka kwenye mil.230!
Tarehe 26/10/2015 mtabaki na LABDA!
 
Back
Top Bottom