Recent content by Akilimali tz

  1. Akilimali tz

    JamiiForums Tanzania Tafadhari naomba fahamishwa kwa anayefahamu

    Naomba fahamishwa mtu anaesomea information communication and technology (ICT) katika vyuo vyenye fani hiyo wanajikita zaidi katika mambogani?
  2. Akilimali tz

    JamiiForums Tanzania Hivi hapa nina haja ya kuendelea na mahusiano au nijiongeze

    Namaanisha asikupotezee muda kwani hayupo nawewe2 ndomaana ameweza hata kuku block ili aendelee naupande wapili.
  3. Akilimali tz

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali, kwa anaefahamu taratibu za kabila hili

    Jina laubini analotumia nijina la mjombawake kaka wa mamayake.
  4. Akilimali tz

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali, kwa anaefahamu taratibu za kabila hili

    Asante mkuu
  5. Akilimali tz

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali, kwa anaefahamu taratibu za kabila hili

    Wana jamvuni salaam, Katika pitapita yangu nilibahatika kupata mtoto na binti wa kisukuma, kwa mujibu wa maelezo yake alidai kuwa ujauzito wa huyo mtoto mi ndo muhusika sikuweza kataa kwa sababu yeye ndo anafahamu ukweli upoje. Cha ajabu baada ya kujifungua sikushirikishwa kuhusu jina la mtoto...
  6. Akilimali tz

    JamiiForums Tanzania Hali yako ya kimaisha ya sasa unaipa methali au msemo upi?

    Yanini malumbano20%
  7. Akilimali tz

    JamiiForums Tanzania Msaada Pombe Vs Wanawake

    Dear gamble mkuu, hukukwawadada kuna stress nyingi kausha hukohuko. Tuliokohuku tunatafutambinuza kuchomoka.
  8. Akilimali tz

    JamiiForums Tanzania Nina hasira na wife, ushauri wenu please

    Mbona wengitunaishi ujingani kwani kubadilisha tabia yamtumzima si rahis, Kumpigachini inakuwangumu kulingana namfumo wa familia.
Back
Top Bottom