Tunaposema tuombe ina maana tuombe kweli kweli ndugu zangu!! FBI huwa hawahongeki wale. na huwa hawabahatishi. TUINGIE MAGOTINI. Damu ya Judy na wengine haitaenda bure. Ukweli ujatulikana.
UN-ICTR (United Nation - International Criminal Tribunal for Rwanda ilifunguliwa hapa Tanzania mkoani Arusha kwa kuendesha kesi za mauaji ya kimbari ya Rwanda yaliyotokea 1994, yaliyotokana na uchochezi wa viongozi kama yeye Pinda. uki-Google utaona ni mawaziri wangapi waliyohukumiwa vifungo vya...
Kigwangala unatumia ------ kuongea. matukio kama haya si ya kwanza. tume zimeundwa na kuundwa na sanasana ni kodi yangu mnatumia panya nyie kuendesha tume hizi bila majibu wala haki kutendeka. leo wataka tukupe mkanda ukarushe kwa tv ili nini? kesi ya mbuzi kupeleka kwa fisi? THIS TIME ICC...
hakika polisi mmevuliwa nguo!!! mtapitisha wapi hii aibu? CHADEMA chama makini sana na hatufanyi mikutano kizamani. sasa serikali imeumbuka ikiwa mambo yako hivi.
Huyu jamaa mwenye kichwa cha nazi yaani RAIS wa nchi hii kwa taarifa yako wala hayupo nchini. kwa hili kwake yeye ni shangwe maana c ana mkataba na kuzimu? so kumwaga damu kwake ni kawaida. we ufe, uchanwechanwe hana wasiwasi. NGOJA ARUDI MUMSIKIE. Me cjui hili boga mlilitoa wapi!!
kwahiyo hawa mawaziri kinachowapeleka hosp[itali si kuwaona wagonjwa bali ni kupeleleza kuwa ni nani aliona ili wammalize. na ni kwanini mnawaruhusu kuwaona hao majeruhi?
Baada ya huyu kijana kutoa maelezo (maana walidai kuchukua maelezo yake), wakaona kuwa aliona mwanzo hadi mwisho kwahiyo atakuja kutoa ushahidi wote. siyo yeye mwenyewe aliyeona. tupo wengi tulioona hili tukio mwanzo mpaka mwisho. kale katoto wameshakaua sasa wanataka kummaliza na huyu kaka...
na mbona nimesikia kuwa aliyerusha bomu ni polisi anayejulikana na alivaa kaptula ya jeans na inasemekana kuwa alikimbillia barabara ya mianzini akavuka barabara na akaingia kwenye gari PT la Moshi?? hili nalo likoje ndugu? mimi napenda haki itendeke. kama polisi wamehusika tujue tunafanyaje...
Me namfahamu huyu jangili kinana cku mingi bhana!! Nyie mtachoka bure. Hajaanza kuiba leo. Ogopa mtu aliyepewa mashine za kufulia nguo kama msaada kwa hospitali ya mount meru arusha na badala yake akaenda kufungua biashara ya kufua yeye mwenyewe. Ni mtu huyo?? Hiyo mikakati waliyoipanga ya...
Kwa maana jinsi hii Mungu aliipenda TANZANIA, hata akakitoa CHADEMA pekee, ili kila mtu akiaminiye asipotee, bali awe na mwelekeo mzuri. KUBALI, KATAA, CHADEMA NI CHAGUO LA MUNGU. Ewe unayejiita MJUSI, MLUZI au jiite vyovyote vile unavyoweza kujiitauliyetumwa na hao majambazi wa CCM kuja kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.