Recent content by akili kisoda

  1. A

    JamiiForums Tanzania Urusi: Hatutishwi na blah blah za Trump na Magharibi

    Aliyesema hivyo ni Dmitry Medvedev kupitia account yake ya X
  2. A

    JamiiForums Tanzania Trump asema Marekani itaipa Ukraine silaha hatari na za kisasa huku akimkosoa Putin

    Hakuna kipya kwenye vita ya Ukraine na Urusi ambacho magharibi hawajakifanya. Walianza kuvisifia vifaru vya Bradley mara Abrahams, Leo viko wapi? Zelenskiy aliomba mifumo ya ulinzi ya anga c alipewa? Vimesaidia nini? Kaomba ndege za F-16 nazo c alipewa? Mbona zinazidi kupukutishwa? Huu mgogoro...
  3. A

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA mjifunze demokrasia hii ya CCM upatikanaji wa wagombea

    Hii nchi uhuru umezidi sasa.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Jinsi B-2 Spirit (Stealth Bomber) kitaalamu inavyoweza ipasua Fordow ya Iran

    Hizo ni propaganda, silaha zake nyingi zishafeli pale Ukraine.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Silaha mpya ya kutisha inayobadilisha vita nchini Ukraine

    Jana Kremlin ilisema endapo makombora ya Ujerumani (toros) yakiipiga Moscow, kituo kinachofuata baada ya Ukraine ni Ujerumani
  6. A

    JamiiForums Tanzania Hangover ya Colonialism bado inawasumbua nchi za Ulaya - Bunge la Ulaya likiongozwa na Ujerumani walioua Babu zetu na kuwatesa

    Mara mia bora ya wao, kuliko wanaoua ndugu zao kabisa Kwa kigezo cha kukosolewa
  7. A

    JamiiForums Tanzania Vibe na weekend nambie leo una vibe wapi?

    😅😅😅
  8. A

    JamiiForums Tanzania Huenda Man united ikaalikwa kwenye Yanga day

    Kaka ukilewa usishike simu.
  9. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini

    Hii nchi imejaa vituko tu kwa sasa, kila mtu akiamka na lake.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kazi imeanza Zelensky anataka kutolewa kafara

    Mbona Urusi walifanya uchaguzi kipindi cha vita?
  11. A

    JamiiForums Tanzania Putin hali Tete, akimbilia kanisani akitaka askari wake walioko vitani Ukraine waombewe

    Hiyo dini yako kwani umeanza kuielewa lini? Kwa Mungu na vita hachangamani? Ulikuwa wapi wakati Israel wanauzunguka ukuta wa yeriko? Israel chini ya sauli c ilikuwa inapigana vita? Hata chini ya daudi pia c ilikuwa inapigana vita? Nimejibu kulingana na dini unayoisema. Mkilewa msishike cmu...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Trump kuendelea kuisapoti Ukraine katika mapambano yake dhidi ya urusi

    Uk Ukraine ni kichaka tu hata mtoto wa darasa la pili huwezi kumdanganya kwenye hili
  13. A

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Bashar Al Asad ameomba back up kwa Benjamin Netanyahu?

    Kwamba leo hii Iran na Israel wakakae meza moja pale Syria kwajili ya Assad? Hivi juzi tu hapa Israel kampiga biti Iran kuhusu kumsaidia Assad halafu leo hii yeye ndio akawe msaada kwa Assad? Siasa za mashariki ya kati kati huzijui bora uwe unasoma post za weñgine tu humu. Nyuma ya huu mgogoro...
Back
Top Bottom