Recent content by Akili 2

  1. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sasa hawa watu wa VAR wanalipwa kwa kazi gani?

    Safi sana
  2. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba andaeni wapiga penati 5 mahiri, nusu fainali hiyo!

    Vijana mnaosihi Kwa mashemeji zenu mnasumbuwa sana na kelele zenu Kila mda mnaanzisha nyuzi zisizo na maana yoyote sababu mnakaa bure na kulala sebuleni kama TV
  3. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania hatuna team ya kuingia semi final ya caf champions league, acheni hype

    Wewe ndiyo umeongea kitu chenye akili sana,, Tanzania wanachanganga mpira na siasa , itachukuwa miaka 20 kufika huko wanakoota saizi kufika
  4. A

    JamiiForums Tanzania CAG Kichere, kwanini uwaite wastaafu Mizigo wakati hela yao ndio imesimamisha NHIF kabla kuingia viwavi jeshi kukopeshana?

    Siasa tu ,badala kutumia Elimu yake kumsaidia jamii ndiyo kwanza Yupoyupo tu
  5. A

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda Ndiye Mwanasiasa kijana Mwenye ushawishi na Ujasiri Mkubwa Barani Afrika

    Ukitoka Kwa shemeji Yako unakokaa bure na kula bure utaanza kujitambuwa Kwa Sasa endelea tu maana huchangii chochote ,, Matatizo ya kulala sebureni kama TV naona yameanza kuleta matokeo sasa
  6. A

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda Ndiye Mwanasiasa kijana Mwenye ushawishi na Ujasiri Mkubwa Barani Afrika

    Kuna nilikuwa nakuona kama unajitambuwa hivi kumbe kichwani na wewe hamna kitu kabisa , mbona unaongea vitu vya kijinga sana kuliko muonekano wako ?? Au tayari akili zako zishakuwa hazina akili?? ,,jitambuwe basi
  7. A

    JamiiForums Tanzania Aprili 1, 2024: Gridi ya Taifa yapata Hitilafu, TANESCO waomba radhi

    Mvua zimenyesha sana ,maji yamekuwa mengi sana machine zinashindwa kusukuma hivyo subiri I yapunguwe
  8. A

    JamiiForums Tanzania Gharama za kuagiza gari, kodi za TRA, usajili hadi kumfikia mtumiaji

    Hayo makampuni hayatataka ujuwe kuhusu hiyo ishu ya kuagiza gari, maana wanajuwa wanachovuna
  9. A

    JamiiForums Tanzania UTT vs Hati fungani za serikali, ipi Bora zaidi kuwekeza?

    Hela tunza mwenyewe ,IPO siku hizi Hela government itaingiza mkono wake itakuwa kama za mafao ,,,
  10. A

    JamiiForums Tanzania UTT vs Hati fungani za serikali, ipi Bora zaidi kuwekeza?

    Achana na hizo ishu utakuja kukuta nakuambia
  11. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilichokiona uwanja Wa Taifa Al Ahly asipeleke Timu yaani anaenda kufungwa goal 4+

    Nilikuambia hama Kwa shemeji Yako hutaki , unaona ambavyo akili zako zinakuwa hazina akili??
  12. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Damas Ndumbaro: Marufuku kuvaa jezi ya Mamelodi au Al Ahly kwa Mkapa kwenye michezo ya Simba na Yanga

    Wasomi wengine bhan, wanaacha kutumia Akili kabisa wanaanza kutumia vingine kufikiria
  13. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CCM Kilimanjaro imepasuka, Mkoa unazidi kurudi nyuma

    Sisi kama CCM tuwaza kura tu hayo mengine subiri I kwanza
Back
Top Bottom