Recent content by Akhi

  1. Akhi

    JamiiForums Tanzania TANZIA Bi Fatma Karume Afariki dunia, akiwa na umri wa miaka 97

    Bibi yake mzaa baba
  2. Akhi

    JamiiForums Tanzania TANZIA Bi Fatma Karume Afariki dunia, akiwa na umri wa miaka 97

    Inna lillahi wainna ilayhi rajiuun
  3. Akhi

    JamiiForums Tanzania Yanga Haijapata Kocha. Engineer Hersi Mwombe Msamaha Gamondi Arejee Jangwani

    Maboga mabichi bado yapo sanaaaaa
  4. Akhi

    JamiiForums Tanzania Arsenal acheni Masihara bwana!

    Mad Max jana mumekamatwa vilivyo huu ndo mpira sasa
  5. Akhi

    JamiiForums Tanzania Miti ya mitiki (teak trees) 100 inauzwa. Zanzibar

    Huu ni utajiri ndugu hongera kwako Selem ni pazuri kwa uotaji wa miti iyo
  6. Akhi

    JamiiForums Tanzania Picha Halisi ya Bwana wetu Yesu Kristu.

    Lee Van free 🤣🤣🤣🤣
  7. Akhi

    JamiiForums Tanzania Picha Halisi ya Bwana wetu Yesu Kristu.

    Ukweli unaumaa huenda baba angu kasoma kuliko ww na mm pia huenda nimekuzidi
  8. Akhi

    JamiiForums Tanzania Picha Halisi ya Bwana wetu Yesu Kristu.

    Ivi nyie hamchoki kudanganywa jameni? Kipindi cha yesu kulikua kuna camera gani? Ivi uko shule mumeenda kusomea nini jameni?
  9. Akhi

    JamiiForums Tanzania Itikadi 6 za Uislamu Zinazomfanya Muislamu Kuishi Bila Msongo wa Mawazo/Hisia(Stress-Free Life)

    Hizi ni nguzo za imani ndugu yangu Hongera kwa ukumbusho Allah atakulipa
  10. Akhi

    JamiiForums Tanzania FT: Azam FC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | Azam Complex

    Kuna mwehu mmoja shabiki wa Azam alihojiwa asubuhi azam tv kasema kua ameweka bondi nyumba yake
  11. Akhi

    JamiiForums Tanzania Hamisa Mobetto; Nilishamwambia mwanangu baba yako ni yule yule ila alikukataa

    Narudia tena na tena UZINZI HAUJAWAHI KUMUACHA MTU SALAMA Endeleeni haya ni moja wapo ya madhara ya UZINZI
  12. Akhi

    JamiiForums Tanzania Migogoro mingi ya ardhi inahusisha watu wa mkoa wa Kilimanjaro

    Hili ni kweli huku kwetu kuna mchaga kakaribishwa tu basi kaiba mpaka bhana jamaa kamuachia tu
  13. Akhi

    JamiiForums Tanzania FT: Azam FC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | Azam Complex

    Saa 1:00 usiku
Back
Top Bottom