Recent content by Akhery

  1. A

    JamiiForums Tanzania Rotimi amvisha pete ya Uchumba Vanessa Mdee

    Mapenzi ya wasanii yapo kama usanii😀😀😀
  2. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wachawi wamekuja leo kuiba mahindi

  3. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wachawi wamekuja leo kuiba mahindi

    mambo hayo yanahtaji Imani kama unaamini Yesu/Mungu hakika jambo hilo ni dogo sana, na zindiko lako kubwa ww kabidhi ulinzi kutoka kwa Yesu yaani unayaombea hayo Mahindi ili kusudi yazungukwe na ulinzi Wa Yesu Kristo. Na ukisema uweke imani kwa hizo nguvu za Giza, hizo hazina mda mrefu na huwa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Hello

    Me
  5. A

    JamiiForums Tanzania Hello

    Habari naitwa akhery, Naombeni ushirikiano wenu
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Habari Dk, natumaini u mzima Samahani Nina mdogo wangu ana umri Wa Miaka minne, anatokwa na damu, usaha kisha harufu mbaya puani katika tundu la kushoto .naomba unisaidie dawa zinazo weza kutumika maana anapata taabu sana Sijajua ni ugonjwa gani na unasababishwa na nini. Msaada wako Tafadhari
Back
Top Bottom