Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Habari Dk, natumaini u mzima
Samahani
Nina mdogo wangu ana umri Wa Miaka minne, anatokwa na damu, usaha kisha harufu mbaya puani katika tundu la kushoto .naomba unisaidie dawa zinazo weza kutumika maana anapata taabu sana
Sijajua ni ugonjwa gani na unasababishwa na nini.
Msaada wako Tafadhari
 
rikiboy Mkuu nasumbuliwa na tatizo sugu la Nguvu za kiume​

Pia kwa kupitia clinic za tiba asili tena tofauti walinieleza kuwa nina tatizo la mzungu wa damu. kwa maana mzunguko wangu wa damu haupo vizuri kwa maana damu haitemebei vizuri mwilini. ila wote wameshindwa kunisaidia.

Naomba msaada mkuu
 
Habar Dr , naomba ushauri Wa dawa ya kutumia kwa;
Mdogo wangu ambaye anaumri Wa miaka minne/mitano anasumbuliwa na tatizo la pua. Yaani pua yake inatoa damu,usaha kisha harufu mbaya.
Msaada wako Tafadhari
Japo sijajua ni ugonjwa gani
 
Ngoja nikupm...!!
 
Kama inaanza kutoa damu kisha usaha inamaana ameumia ndani kwa ndani n akutengeneza vidonda japo hamuwezi kuona so vizuri mumpeleke hospital lakini pia inawezekana kuna factor flani zinazosababisha damu kuganda kwa huyo mtoto hazipo sawa. MPELEKE MTOTO HOSPITAL.
 
OK shukran
 
Habar dokta, Mimi nasumbuliwa na tattz la kuwashwa mail kwa dakika kama 15 baada tu ya kumaliza kuoga Sasa Ni mwaka wa 7 lkn pia nikiloana jasho nikivua nguo tu kosa naanza kuwashwa nikienda hospital nikaambiwa Nina allergy wakanipa madawa ya kichina Ila bd sijapona nateseka kweli!!
2.week moja Sasa nasikia maumivu upande wa kulia wa Kifua kwa ndani maumivu haya nayasikia zaidi nikilala Ila vitu vizito naweza kunyanyua, na Kazi kufanya Kama kawaida Ila inapukuja inshu ya kulala hasa upande huo unauma Sana Sana kiasi Cha kwamba kila usiku nikijigeuza usingizin nilazime nimamke kwa maumivu makali nalala kwa kukaa.. ttz kitakuwa Ni Nini? Je, linahusiano na Kazi ninayoifanya? Mm Ni dereva wa magari makubwa!!!
 
ndugu jitahidi sana kufanya zoezi ili kurekebisha viungo vya mwili wako mfano pushup,kichurachura,kuruka kamba,kukimbia(riadha) n.k maana kukaa kwa muda mrefu inakufanya upatwe na matatizo ya maungio katika kiuno na sehemu zinginezo zinazo karibiana na hapo mfano nyamanyama za mwili(baadhi yao hupatwa na miwasho) na pia mbavu au uti Wa mgongo

Na kuhusu kuwashwa
Jitahidi sana kuwa msafi Wa mwili na nguo yaani kuoga walau hata Mara mbili au tatu kwa siku, maana kama huogi kunafanya mwili kutengeneza vijidudu/bacteria ambao watakuletea madhara katika ngozi yako kama kuwashwa n.k
 
Dr, nina maswali mawili.
La 1: Nini chanzo cha nyayo za miguu kuhisi zina moto pidi unapokuwa umevaa viatu na ipi tiba yake?
La 2: Chanzo cha ugonjwa wa bawasiri( kuota uvimbe/vidonda kwenye njia ya haja kubwa na dawa yake ni ipi?
Asante.
 
Kuwashwa baada ya kuoga nina jibu lake 0762766665
 
Dr, nina maswali mawili.
La 1: Nini chanzo cha nyayo za miguu kuhisi zina moto pidi unapokuwa umevaa viatu na ipi tiba yake?
La 2: Chanzo cha ugonjwa wa bawasiri( kuota uvimbe/vidonda kwenye njia ya haja kubwa na dawa yake ni ipi?
Asante.
kuhusu swali la kwanza
Viatu huwa unavaa kwa muda gani na ni aina gani ya viatu ambavyo huwa unavaaa?. Kwa maana kuna baadhi ya watu wakivaa viatu au aina Fulani ya viatu huwa inawapelekea nyayo au mguu kuuma.
Pia kuna ugonjwa Wa "miguu kuwaka moto"

Kuhusu swali la pili
Chanzo cha bawasili
Kuna sababu mbalimbali zinazopelekea MTU kupatwa na bawasili kama:
Kukaa chooni kwa muda mrefu ukiwa na lengo la kujisadia haja kubwa lakini pasipo kutoa hiyo haja au kutoa kidogo.
Vyakula vya kisasa tunavyo vitumia mfano nafaka zilizokobolewa na viwandani
Kutopata mlo kamili
Kukaa mda mrefu bila kwenda haja kubwa
Kufanya mapenzi kupitia haja kubwa (anal sex)
Kukaa mda mrefu bila kula chakula N.k
TIBA
Kunywa maji kwa wing I
Kula mlo kamili
Jiwekee mazoea ya kutokaa mda mrefu chooni pasipo haja
Kula chakula kwa wakati
Ulaji Wa matunda Mara kwa Mara
Kula vyakula vya asili visivyokobolewa mfano dona

NB: pia kuna aina za bawasili yaani
Inayoota kwa ndani na kuigundua siyo rahisi
Na inayoota inatokeza mpaka nje ya haja kubwa ambayo wakati Wa kujisaidia inaonekana
Na nyingine mda wote inakuwa nje

Jitahidi ufanyiwe checkups
 
Viatu navaa wakati nikienda kazini, ni ngozi kwa wiki navaa aina 2 havina kamba,
Jioni navaa simple au sendo,
Kwahiyo tiba yake nini?

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Dr, nina maswali mawili.
La 1: Nini chanzo cha nyayo za miguu kuhisi zina moto pidi unapokuwa umevaa viatu na ipi tiba yake?
La 2: Chanzo cha ugonjwa wa bawasiri( kuota uvimbe/vidonda kwenye njia ya haja kubwa na dawa yake ni ipi?
Asante.
Miguu kuwaka moto mara nyingii huusishwa matatizo ya mfumo wa Nerves ambapo mara nyingi huenda pamoja na miguu kufa ganzi. Dawa yale ni Neuro support ambazo hunywa ndani ya mwezi mmoja pamoja na Vitamin B complex. Muhimu zaidi nenda hospital kabla tatizo halijawa kubwa.

Bawasili hutokana na kuwepo kwa Uvimbe sehemu ya haja kubwa ambapo Mishipa ya damu ikipasuka hupelekea damu na vidonda zaidi. Chanzo chake sometimes huwa ni Kujisaidia kinyesi kigumu ambacho hukwangua sehemu ya aja kubwa. Matibabu yake anza kunywa maji mengi...usibane kinyesi ukijisikia kusaidia maana hii hupelekea maji kunyonywa na kuwa kigumu...Kula vyakula vya fibres sanaa yani mboga mboga matunda ambavyo hulainisha choo. Lakini pia kuna dawa inaitwa ANNUSOL SUPPOSITORIES ambayo huwekwa kutibu huo uvimbe. Pole sana

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Viatu navaa wakati nikienda kazini, ni ngozi kwa wiki navaa aina 2 havina kamba,
Jioni navaa simple au sendo,
Kwahiyo tiba yake nini?

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
hayo in matatizo yanayosababishwa na uharibifu Wa Neva(neuropathy)
ok fanya haya yatakusaidia
-Kula vyakula vyenye mkusanyiko wa vitamini B za kutosha

- Fanya mazoezi ya mwili kama kukimbia, Kutembea n.k pia kufanya massaging

- Punguza uzito uliopitiliza

- Tumbukiza miguu katika maji ya vuguvugu yenye chumvi

-Epuka kutumia pombe Mara kwa mara

- Tibu maradhi ya sukari hakikisha sukari ipo sawa

- Ondoa sumu kali mwilini mara kwa mara

- Chua miguu yaki kwa vitu vinavyopunguza maumivu ,vinavyosaidia mzunguko wa damu kuwa Vizuri (paka Asali mbichi, shubiri na limao).
-dawa aina ya Neuro support
 
Riki boy ..Nina heartburn ... Nahisi ipo associated na Vidonda vya tumbo...napata shida sana nikichelewa kula.. au usiku nakuta chembe ya moyo inauma sana Ila nikipata chakula hiyo Hali inaisha.

Nimetumia antacids... Hazisaidii...pia Omeprazole haijanisaidia.

Nitumie dawa gani?
 
Mzee wangu anasumbuliwa na vidonda vya tumbo some time hadi akienda haja kubwa inatoka damu vipi Kuna dawa ya vidonda vya Tumbo?
 
Back
Top Bottom