Recent content by AKGN

  1. A

    JamiiForums Tanzania Naombeni Ushauri, upendo wangu kwa mke wangu unashuka

    Hata kama mapenzi yamekwisha kumbuka Kuna mazoea 📌, Cha kukushauri we fanya ufanyavyo usimpoteze huyo Mama watoto wako
  2. A

    JamiiForums Tanzania Joe Biden ajitoa kugombea Urais wa Marekani 2024

    Katupa taulo 😁👋
  3. A

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yasitisha Matumizi ya Dawa ya Kikohozi kwa Watoto

    Kuna Mahali Tanzania tunakwama pakubwa. TMDA hao hao wanatakiwa wafanye QA(QC) na majukumu mengi kama yote waliyo nayo hiyo QC huwa wanafanya saa ngapi? au ndo hufanya kwa kujiskia? Na sina uhakika na maabara zetu za dawa za +255 kama zinaweza perform QC za dawa nyingi juu ya PAIs na non PAIs...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Nampataje huyu dada wa JF nipate kumuoa?

    Kama Unamjua Mtaje 🥴
  5. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Sukari yafika shilingi 5,000 kwa kilo moja

    Tutakunywa Ulanzi sasa
  6. A

    JamiiForums Tanzania Visungura mtaani na k vant vinamaliza vijana!

    Serikali Haishauriki kwa Jambo Hili, Wao wanazingatia Kodi haswa hivyo vijana tujiangalie Zaidi wenyewe. Na Wakati mwingine unakuta ni biashara za wenyewe.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kwani wanawake kuna ulazima gani kutugaia umbea wenu wa mtaani tukiwa ndani??

    Huo ndo upendo Mkuu we msikilize tu Alafu fanya Mambo Yako mengine Kuliko kumpuuza Maana ipo siku utatamani hata huo umbea 😂
Back
Top Bottom