Recent content by Akanyabwoya

  1. A

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kutoka mikosi

    Shukurani
  2. A

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kutoka mikosi

    Wakuu nadhan Nina mkosi, Kazi sipati nikipata mbaya, Nikinnua mifugo inakufa, Biashara holaa, Mke Sina, Kwa mganga nimeenda mara moja lakin nayenyewe bado haijanisaidia. Nachomokaje hapa wakuu.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Msaada; Naweza vipi Kupata API ya benki ya NMB.

    Wakuu nina ofisi inayonajishughurisha na software development, Juzi nimepata mteja ambaye anataka "School Management System" lakin anataka malipo yakifanyika kwenye account ya shule yaonekane kwenye system. Na hili ili liwezekane nilazma nipate API ya bank ya account husika. Kama kuna mtu...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi.

    M
  5. A

    JamiiForums Tanzania Ngara Kagera: Kijana akutwa akiandikisha namba za BVR, apigwa na Wananchi

    Mtu mmoja ambae ni mkazi wa Murgwanza Wilayani Ngara mwanachama wa ccm amekutwa akiandika namba za Vikatio amepgwa na wanamabdiko nusu apoteze maisha! Jamani Nguvu yamabadiliko haizuiliki...
  6. A

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waita Wahariri - Jumanne, 28 Julai 2015

    Hii habari ni nzuri xana!! R.I.P ccm!
  7. A

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Naomba wamuwwke Mwanamke ili Ukawa tuchukue nchi mapema xana.
Back
Top Bottom