Recent content by Akabi kemanya

  1. Akabi kemanya

    JamiiForums Tanzania Makonda: Rais Samia alilibeba jina langu na kuingia nalo Kamati Kuu bila kujali kelele za chura akiamini nitamsaidia kazi. Viongozi wa Dini mniombee!

    Dah hii mpya! Inamaana ndani ya kamati kuu ya chama pendwa kuna chura hata hamsemi😂😂😂
  2. Akabi kemanya

    JamiiForums Tanzania Hatimaye TEC yapoteza imani katika jamii

    Ngoja nikae mbele kusubiri kitima aje na ufafanuzi wa maboresho🤣🤣🤣
  3. Akabi kemanya

    JamiiForums Tanzania Hatimaye TEC yapoteza imani katika jamii

    Kwa stahili hizi hata sadaka zangu nazihurumia🤣🤣🤣🤣
  4. Akabi kemanya

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa Rev. Fr. Charles Kitima kwenye utiwaji saini wa Mkataba wa DP World unahitaji majibu

    Uzuri sikuizi Kilamtu kageuka kuwa mtumwa wa tumbo lake Na huko tuendako watu wataanza kufiri kwa kutumia matumbo badala ya vichwa
  5. Akabi kemanya

    JamiiForums Tanzania Mikoa yenye kiwango kikubwa au kidogo zaidi cha kipato kwa mtu mmoja mmoja

    wahaya njooni hapa na ushaidi hivi ni kweli hii namba ni sahihi kwa mkoa wanu
  6. Akabi kemanya

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wakili Mwabukusi na wenzake wanastahili kuungwa mkono

    Mwambukusi kajichanganya tu hatakiwi kabisa kuambatana na slaa huyo ni yuda, uzuri wa Chadema wanachonga kinyago wenyewe na kikiwazinguwa wanakibomoa wenyewe Maana yake Chadema ni mafundi wa kujenga na kubomoa pia wanajua anayebisha akamuulize shemasi wa kipindi kileee kule Twitter kwa wakati huo
  7. Akabi kemanya

    JamiiForums Tanzania Kama Wananchi Hawajui Katiba, Basi Serikali na Rais ni Batili

    Yaani kwakweli hii ni kali ya mwaka kwamba wananchi hawaijui katiba??! Kwa mantiki hiyo hata Uraisi wake wananchi hawatambui dah kweli leo wame muingiza chaka😂😂😂😂
  8. Akabi kemanya

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aingia Ngorongoro na kupokelewa kwa kishindo

    Jana mlikuja na taarifa kuwa amezuiwa kufanya mkutano sasa kulikoni tena leo kapenya penya vp hata afanye mkutano😵😵😵😵
  9. Akabi kemanya

    JamiiForums Tanzania Waarabu kushangilia huku wakipeperusha bendera ya Tanzania inatuma ujumbe gani?

    Picha ndio kwanza linaanza
  10. Akabi kemanya

    JamiiForums Tanzania DP World wameachia Bandari? TPA yatangaza kutafuta Mzabuni kuhudumia Makasha katika Terminal II

    Mh! Hii mbona mapema sana alafu hata hamsemi kuwa hii niwiki 2 tu bado wiki4 za waraka kusomwa
  11. Akabi kemanya

    JamiiForums Tanzania Hotuba iliyoleta mapinduzi Gabon

    Kwa staili hili hata mimi nitakuambia bia mtutu wa bunduki usilinde zuruma tena
  12. Akabi kemanya

    JamiiForums Tanzania Serikali yafuta mapendekezo ya kuzifanyia Marekebisho ya Sheria zinazohusu Umiliki wa Maliasili

    Waraka wa mtume Paulo kwa wagaratia imeandikwa kila goti litapigwa mpaka muikiri kweli
Back
Top Bottom