Pole kwa yote.kutofautiana kwa mitazamo iwe changamoto ya maendeleo kwako,na isiwe kisomo cha maisha ya ndoa yako.km kunaengine yanayokufanya usiache ndoa yako ambayo huwezi ukasema hapa,sawa.lakini km ni haya ya kutofautiana mitazamo.kuwa imara
Haya malalamiko hayawafikii walengwa,uungwana nikuwaeleza kero zinazowasumbua huko kwenye jamii mnazoishi,ikiwa kila changamoto ya mitaani inakuaje kusemewa huku,matatizo ya mitaa,nyumba nimekuwa msingi sana.acha yoga,mweleze ukweli mpangaji mwenzio
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani huyo ni muungwana sana,amekuambia kabla ya kwenda using we halafu unalalama?Ponte inakusaidia nn tangu unywe?kwa asie kunywa pombe nikero sana. Wacha kuwaza mambo ya kiuchumi,tii haja ya mwenzi wako usinywe
Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya maamuzi sahihi,yawezekana hata kuharibika kwa hiyo mimba huenda mungu akutaka kukuwekea historia km ilishawahi kuwa na mwanaume wa huyo.fanya toba anza mapambano mapya
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.