Swali kwa wanawake, yupi mwanaume bora, mwenye kuongeza mke wa pili au mwenye kuchepuka?

Ni mwanadamu gani anamzidi akili ufahamu na maarifa Mungu
Kama Mungu alimuumba adam na akamuumba hawa hakujua kua adam ana hitaji wanawake zaidi ya mmoja aumbe na hao
Mungu alijua kua mwanaume anahitaji mke mmja na mwanamke anahitaji mme mmja ndio maana akawaumba hivyo
Na Mungu anachukia uzinzi wanaume mjitafakari Mungu hakuwaumba mtende uzinzi au muwe na wake wengi mlipewa mmoja tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha siasa
 
images.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna vitu vingine tunasema na kutojua hekima zake na tunajitoa kusudi ufahamu
Mwanamke hawezi kuolewa na mume zaidi ya 1na kuna hoja nyingi ktk hili,mojawapo ni mtoto atakaezaliwa atakuwa wa nani?
Lakini kiafya pia ni tatizo kwa mwanamke kumwagiwa manii na kila mwanaume huweza kupelekea magonjwa ya zinaa.
Mume kuoa mke zaidi ya 1kuna hekma kubwa sana, mojawapo ni,idadi ya wanawake duniani ni kubwa sana sasa tukichukuwa walio olewa tu wengi watabaki bila ndoa hawa wahudumiwe na nani kimaumbile?
Lakini pia lengo kubwa la ndoa ni kuendeleza kizazi hivi ikatokea ukaoa mke na ikatokea hazai wewe umwache na kuoa mwingine? kistarabu unaowa mwingine na huyu unamliwaza kwa tatizo lake.
Kwa mwanamke anaweza kuvumilia kuolewa na mwanaume ambae jogoo hapandi mtungi?
Lakini kama bianaadamu wenye kuamini vitabu vya Mungu dhambi ya UZINIFU ni kubwa sana je tunatengeneza mazingira ya wengine wazini na kumkosea Muumba wao?
Kuoa mke zaidi ya 1 ni halali na ni muhimu ktk hii jamii ya kibnaadam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuoa mke wa pili ni jibu nzuri kwanza kiiman yangu, Ila hii inawafaa wanaume wenye kumjua Allah na wenye hofu ya Mungu. Na hata hao wake zake wawe na imani hapa Hakuna shida .anaoa mke wa pili Atakuwa sio mzinifu, Swala zake zitakuwa halali, funga zake zitakuwa halali. Atakaa na wake zake Kwenye misingi ya iman, atawaelekeza wake zake njia bora za Allah .na hata Ukimchunguza mume ambaye Yupo hivi hata akioa wake 4 hutosikia mgogoro. Hii ni kwa wanaume na wanawake waadilifu.

Ila wanaume wengi anaoa mke wa pili dini imemruhusu Ila Maisha anayoishi si ya miongozo ya uislam huyu mwanaume ni hatar ni her abaki na mke Mmoja na mchepuko yake kadhaa.


Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala) Anasema katika Suratun-Nisaa, Aayah ya 3:

((… oeni mnaowapenda katika wanawake, wawili au watatu au wanne. na mkiogopa kuwa hamuwezi kufanya uadilifu, basi mmoja tu)

Tafsiri:

Oeni walio wazuri miongoni mwa wanawake wawili, watatu na wanne, ikiwa munaogopea uadilifu kwa wanawake hao basi oeni mmoja.


Dini imeruhusu Ila imeweka angalizo kama hutaweza baki na Mmoja tu. Kwa sababu ukioa wake zaid ya mmoja usipokuwa muadilifu unapata dhambi.
Huu uandishi ni wakipwani.
Namanisha karibu na bahari
Jazaka llahu khaira
 
Mie siko kwenye taasisi hiyo maalum duniani ila huwa naonana na mambo yanayotokeaga kwenye taasisi hiyo na huwa nayatathmini.

Huwa siku zote nawaza na kusema ukweli nikwamba hakuna mwanaume ambaye ana mwanamke mmoja tuu. Hakuna na haipo. Na ukikuta yupo mwenye mwanamke mmoja aidha mgonjwa wa kisukari hivo huyo mmoja anahakikisha hachepuki ili asimtolee siri yake ya kusimamisha kwa kuvizia. Au ni mwanaume asiye na fedha ya kutosha kuwahudumia michepuko au sehemu zake za maungo ya kati hazifanyi vizuri au zimedhoofu (yaweza kuwa kapigwa kipapai cha hapo kati tuu hehehe natania) lakini picha ya mwanaume kwangu iko hivo na huwa sizing gani nayo wala kubishana nayo. Huo ni ukweli na nikipingana nao ntaishia kuumia mwenyewe.

Mwanaume mzuri ni yule anayemheshimu mwanamke aliyenae kwenye mahusiano. Yaani pamoja na kuwa na wanawake wengine huko nje hata siku moja haachi alama au hisia kuwa analindo la pembeni. Hapo mkewe anamuamini 1000% kuwa bwana wake ni wake peke yake hehehehehee kumbe akijua nyuma ya kisogo chake anaweza kuzimia au kufa kabisa.

Hivo kujibu swali lako bora mwanaume aoe wake hayaa 4 ila aweke wazi kwao wote kuwa nyie wote ni wangu na hapo awe mahari kweli kweli kuwahudumia wote hao kuanzia makazi mavazi chakula cha mdomoni na cha kwenye langu la kuingia duniani.

Swali kwako, wewe unatamani uweje. .... na mke mmoja kisha michepuko 4 au wake halali wasio wazi 4 bila mchepuko?

Kasie mahaba......
Hata alieokoka humwamini kwamba anaweza kuwa na mwanamke mmoja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom