Recent content by ajmuka187

  1. A

    Polepole: CCM ni Chama Cha Mungu wa Mbinguni

    Chama Cha Mungu wa mbiguni kinashidwa kuongeza mishahara kwa watumishi wake, hiki chama sio cha Mungu wa mbiguni ni chama cha shetani wa mbiguni. Sifa ya Mungu wa kweli ni upendo, uvumilivu, Hana ubaguzi pia hanunui wabunge.
  2. A

    Tusianze kukengeuka, kwa nchi zetu hizi Rais ni ‘mungu’ na amewekwa na Mungu

    Hakuna rais amewahi kuwekwa na mungu, mungu anasifa ya upendo, uvumilivu nk
  3. A

    Kocha Amunike aanza kujuta kuwatimua nyota wa Simba

    Kwani wachezaji wa Simba na Yanga waliigia mkataba wa kuchezea timu ya taifa na bila wao timu haipo, tungeacha mazoea na kila mtazania mwenye uwezo anahaki ya kujuishwa kwenye timu ya taifa.
  4. A

    DC Jerry Muro amfokea DED kama mtoto mdogo kwa kuchelewa dakika 10 kwenye msafara

    Kwani DC yeye hajawahi kuchelewa tangia amekuwa kwenye utumishi wa taasisi mbalimbali ambazo amewahi kutumikia kabla ya kuwa DC, ndio vile tunasahau haraka sana tulikotoka.
  5. A

    DC Jerry Muro amfokea DED kama mtoto mdogo kwa kuchelewa dakika 10 kwenye msafara

    Kwani DC hana ofisi wakakaa wakosoana kwa utaratibu mzuri wa heshima na adabu, heshima iko pande zote mtawala na mtawaliwa.
  6. A

    DC Jerry Muro amfokea DED kama mtoto mdogo kwa kuchelewa dakika 10 kwenye msafara

    Baadhi ya viongozi ni wanajiona wao miungu hawana mapungufu wamekamilika, watawaliwa ndio wenye mapungu ya kibinadamu. Hawajui wanatenda kama mafarisayo kuwapa wengine sheria ngumu wakati wao hawawezi kuzitekeleza
  7. A

    Miaka 5 baada ya kifo cha mzee Moses Kulola: EAG(T) inaangamia

    Kabeta Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom