Recent content by Ajmeel

  1. A

    Waliowahi kuomba na kupata Visa tukutane hapa tupeane uzoefu

    Wakuu,naombeni msaada,nimepata visa ya kwenda kwa Bimkubwa na familia yangu, Shida yangu nataka nikajipige huko nisaidieni kujua case ambayo nikijipiga nayo basi ntaweza kupata Sheria.
  2. A

    Msaada wa kupata consultant wa kuomba Viza za Europe

    Namuulizia ndugu yangu tu,pia sio mfanyakazi wa uma kwahiyo hatohitaji kibali.
  3. A

    Msaada wa kupata consultant wa kuomba Viza za Europe

    Ndugu Wanajamvi Naomba Msaada wa kufahamu Consultant ambaye anamsaidia client kuomba viza ya kwenda europe on his behalf, Ambaye atashughulikia mpk client ambate viza, Shukran sana.
  4. A

    Used spea za rav 4 zinauzwa kwa jumla

    Ahsante kwa ushauri ila mkuu Nina full receipt ya HV vitu,kuanzia manunuzi Dubai,viza nilipokwenda na clearance docs znz,hata kama ikihitajika kuviweka hapa naweza viweka in single minute,kila kitu ni halali na vimeainishwa kwenye receipts vyote.
  5. A

    Used spea za rav 4 zinauzwa kwa jumla

    Tunauza spea za Rav 4 kwa jumla zilizopo Zanzibar,spear zimenunuliwa Dubai na zimeshukia ZNZ,spea zinauzwa under cost to cost basis na mnunuzi ataunyeshwa original receipt ili ahakiki kabla ya makubaliano, Spear zilizopo ni za Rav 4 OLD ya mwaka 1998 na za Rav 4 ya Mwaka 2003 na spear moja tu...
  6. A

    Nimefahamu kwamba mke wangu sio mke wangu (sad)

    Sheykh sijawahi kujibu chochote katika hizi thread badala ya kusoma tu ila leo nashawishika nikujibu kidogo, Ama kuhusu talaka nikweli kuwa katika uislam jambo hilo halina mzaha ila pia lina mapito yake, itategemea na sheykh yeye amelenga nini katika hiyo fatwa yake, kimsingi kutokana na...
  7. A

    Tunashughulika na kuuza drip irrigation pipes

    Nipo sijakimbia ntarudi kuwajibu soon
  8. A

    Tunashughulika na kuuza drip irrigation pipes

    MTANANA wastan unanionyesha utahitaji meter za pipe 1650,ni Roller moja zima namita 150 ziada,Kwa kesi km hii ukinunua kwangu Roller Moja meter 150 za ziada ntakupa OFFER.
  9. A

    Tunashughulika na kuuza drip irrigation pipes

    Angalia Roller lake lina mita ngapi na halafu ni drip zipi anazouza yeye? Zenye matobo au zile za plain?No way anauza kuuza Roller km zangu kwahiyo bei,kingine ulinganishe na quality,maana zipo utauziwa zikipigwa na jua miezi miwili tu ukabadilishe zingine
  10. A

    Tunashughulika na kuuza drip irrigation pipes

    Tunazitoa UAE,Abudhabi
Back
Top Bottom